Mimi ni mnufaika wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB). Nilianza kulipa deni langu la shilingi milioni 6.5 mwaka wangu wa pili tu baada ya kuajiliwa. Nililipa deni langu katika kipindi cha miaka nane. Nimeshtushwa na barua niliyoandikiwa ofisini kwamba nina deni HESLB....
Wamehamia jengo lao la Tazara pale mbele ya Buguruni boss.Hao mim hata mpango wa kuwalipa sina.. Wafate wapo mwenge pale wasilete mazoea..
Washahama mwenge ,wamehamia TAZARA kuelekea vetenaryHao mim hata mpango wa kuwalipa sina.. Wafate wapo mwenge pale wasilete mazoea..
Hawapo mwengeHao mim hata mpango wa kuwalipa sina.. Wafate wapo mwenge pale wasilete mazoea..
yeah! Sikujua. Kipind nafatilia mambo yangu 2016/2017. Walikua hapo. Nadhani wamehama.Hawapo mwenge
Lile jengo siyo jipya. Lilikuwepo.Wamehamia jengo lao la Tazara pale mbele ya Buguruni boss.
Wale ndo zao kuhamahama, kuna kipindi nyuma huko tuko primary walikuwa msasani ccbrtLile jengo siyo jipya. Lilikuwepo.