HESLB: Lot ya sita inatoka lini?

Naona neema imeshika, watusahau tena kwa makusudi sasa. Bodi imeongezewa fedha na srrikali
 
Bodi ya mkopo kwa wanafunzi wanaboa sana unakuta watoto ya tima na walemavu wananyimwa mkopo
Kwakweli hawa wafanya kazi wa dodi hii wamechoka kazi, Magufuli anajitahidi sana kukusanya hela kwa majizi lakini wao bado wanabania hela hadi kwa mayatima na walemavu
Magufuli naomba ulitambue hili maana yote uliyoyaadini kwa yatima na walemavu bodi ya mkopo ndo inawaonea sana hao watu, Rais wetu MAGUFULI liangalie hili
 
Mi juzi nimesikia taarifa ya habari ikisema wanafunzi woote walioomba Mkopo 2015/16 wamepewa pasipo kuangalia kozi zao,nikastuka kidogo watu tunaumia huku bila Mkopo na kozi uliyochaguliwa ni priority. INAUMIZA SANA
 
Back
Top Bottom