fauzia kasanda
Member
- Nov 5, 2015
- 16
- 3
Mie nilijua weekend hii wanatoa majina ya lot ya sita lakin hadi sasa bado kimya.anae jua lot ya sita inatoka lini mtujulishe jaman
mbona ktk hiyo lot ya tano kuna wanachuo walipata.na kama ijafunguka.inafunguka lini?Lot ya tano haijafunguka bado
aise me nshakata tamaa maana hata majina yetu .hayajapelekwa kabsa d.usikate tamaa magufuli ni jembe letu alihaidi mkopo kwa wanachuo wote hivyo tutapa lot inayokuja nimesikia wanatoa jmatatu.pia wakomalie hao wapeleke majina yenu mapema
Pole sana MAN OV ACTION
Mwenyewe niliomba mwaka jana (2014/2015) nikaambiwa BUDGET EXHAUSTED. Nikajipa tumaini na kuamua kutinga Chuo kwa hisani ya ndugu, jamaa na marafiki. Mwaka huu nikaona nisipitwe nikaomba pia. Kilichotokea hadi sasa ni KIMYAAAA. Bora hata mwaka jana walisema BUDGET EXHAUSTED lkn mwaka huu naona NI KAZI TU
yan ikifka kipind cha kusain unataman kulia jinc wenzako wanavyokimbzana kusain.........na kuchekelea
INAUMA SANA AISEE,!! nadhan jana nilibaki peke yangu chuon wengine wote walikuwa mjini kuspend! daah more than pain
Mr kuwa original usiishi kwa kuangalia huyu kafanya hili ama lile ishi wewe kama wewe usiangalie huyu kala kuku kwa mwarabu ama kile kwa mwafrika maana wote mwishowe mtaenda tu, isitoshe wewe sio wa kwanza kukosa bum feel free and comfortable pia mwombe sana Mungu he will make a way, karibu saa 20 LR 7 ktk ibada kuna kipindi maalumu juu ya neno la Mungu