Toka TCU watoe majina nakusikia wanafunzi wakilalama ikanibidi nifanye utafiti kuna wanafunzi wengi wenye div 3 ambao kwa miaka ya nyuma ila wapate mkopo inabidi wachague UALIMU AMA KWENDA KUSOMEA SAYANSI ila sera ya mwaka huu ni kinyume kabisa kwani wenye haki ya kupata mkopo wamekosa ila wasio na vigezo vya kupata mkopo wamepata wengi wao hao wamechaguliwa vyuo vya private sababu kwa point izo ni vigumu kupata UDSM,MZUMBE, UDOM, nk swali kwa HESLB ushaidi tunao ukitaka tunaweka majina ya hao wanafunzi na point zao waliopata form 6 na vyuo walivyochaguliwa je kwa staili hii tunakuza Elimu ama tunadumisha vilaza Tanzania?
My Take:
Kwa wanafunzi wenye div 2 na 1 daini haki yenu tena ikibidi nendeni na hao waliopewa mikopo fika wakitambua hawana vigezo kwani natumaini mnawajua.

Wenye div.3 wengi wao watoto wa wawapiga kura ambao wengi wao wamesoma shule za kata kuwanyima mikopo sio haki kwa kweli

thats not fair, goverment sponsorship is kind of motivation for better performance in high school, so rewarding someone with lowest cuts of

through giving him loan benefits while someone with first division gets nothing is not fair.... enzi zetu ukipangwa udsm or mzumbe loan inakuja

moja kwa moja bila utata, na hiyo ilitupa motivation ya kukaza sana sekondari na kweli tulifanikiwa kufanya vizuri... mimi sijaipenda hii but ndo

Danganyika country hii

Mkuu pole kwa kukosa mkopo.

Nakushauri uende bodi kufuatilia zaidi.
Ni kweli, dogo katimiza wajibu wake kama mwanafunzi, ni jukumu la serikali kutimiza wajibu wake wa kumpatia mkopo. Serikali haipaswi kuamka ghafla leo na kuwanyima mkopo akina dogo kwani walisoma wakijua kuwa wakiachieve points hizo then mkopo ni lazima. Kama serikali inabadili utaratibu wa mikopo then mabadiliko yakitangazwa leo yaanza kutumika after 6 years. Yaani mwanafunzi aingie kidato cha kwanza akijua kuwa hata kama nitafaulu sayansi, hakuna mkopo

Mi siko iko ila ni mtazamo wangu kwani dah kuna dogo aligoma kula siku zima baada ya wazazi wake kumwambia hawana uwezo wa kumsomesha so itabidi hasahau chuo maishani mwake na yeye ana div 2.10 ila amekosa mkopo amechaguliwa UDSM. So ilinipain sana kwani dogo alikuwa anama2maini 100% anapata mkopo na hakuwa na wasiwasi ila furaha yake ndoto yake ya elimu ya juu UDSM imetimia ila sasa imekuwa kilio na mawazo mda wote akiomba serikali japo iwafikirie upya.
Kweli inaumiza sana. Nimemshinikiza binti yangu asome sayansi, yuko form three sasa, leo asubuhi nilifikiria kumwambia aachane na sayansi nikasita kidogo. Laiti angekuwa form one, ningemwambia achana na sayansi kwani ni mgumu, ina mshahara mdogo na haina mikopo.Yaan km mzumbe weng wamekula za mbavu, njoo ifm sasa m2 ana div 3 ya 16 kala milion kibao. Aya bwana wao ndo wenye "nji" wameshasoma wameamua kutubumisha sis viele ele tuliokuwa tuna kesha na kusoma mituition, mara mwenge mara msimbaz mara pugu practical, mara kwa mkumba, mara kwa ostadh. Thnx jk

Toka TCU watoe majina nakusikia wanafunzi wakilalama ikanibidi nifanye utafiti kuna wanafunzi wengi wenye div 3 ambao kwa miaka ya nyuma ila wapate mkopo inabidi wachague UALIMU AMA KWENDA KUSOMEA SAYANSI ila sera ya mwaka huu ni kinyume kabisa kwani wenye haki ya kupata mkopo wamekosa ila wasio na vigezo vya kupata mkopo wamepata wengi wao hao wamechaguliwa vyuo vya private sababu kwa point izo ni vigumu kupata UDSM,MZUMBE, UDOM, nk swali kwa HESLB ushaidi tunao ukitaka tunaweka majina ya hao wanafunzi na point zao waliopata form 6 na vyuo walivyochaguliwa je kwa staili hii tunakuza Elimu ama tunadumisha vilaza Tanzania?

My Take:

Kwa wanafunzi wenye div 2 na 1 daini haki yenu tena ikibidi nendeni na hao waliopewa mikopo fika wakitambua hawana vigezo kwani natumaini mnawajua.

umeliangalia hili kwa mtazamo finyu sana!

Wahusika bodi ya mkopo leo asubuhi walikuwa live channel ten. Moja ya point waliyo zungumza ni kwamba. Kwa sasa tofauti na miaka ya nyuma; 1. wanafunzi wote walio pata vyuo wana haki sawa ya kupata mkopo. 2. Mikopo kwa sasa itatolewa kufuata mahitaji ya chuo na sio kwa % kama ilivyo kuwa awali. 3. Bajeti iliyotolewa na serikali Bilion 300 haikidhi mahitaji ya wanafunzi wote hivyo 4.Wawetoa mkopo kwa kuanza na vitivo vya kipaumbele,kisha kwa vitivo vingine Mpaka pale bajeti ilipokomea. 5. Wametoa wito kwa ambao hawajapata mkopo waweze ku-appeal, ili kujaribu bahati yao.

Mytake:

KIWANGO CHA FEDHA KINACHOTENGWA NA SERIKALI KWA AJILI YA BODI YA MIKOPO YAPASWA KIONGEZEKE ILI KUKIDHI WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO.

kama wenye vigezo wamekosa mkopo sio haki hata kidogo
kapata UDSM alafu kakosa mkopo? Ya mwaka huu kali