HESLB: Batch One Out Now

Wengine hii ndo chance ya mwisho kuomba mkopo bodi ya mkopo kwetu sisi tuliomaliza mwaka 2019 kidato cha sita.Kwa kweli mambo yanaumiza sana
Sera znayumba ,ajira nazo shida ,kusoma nako kwa shida bodi ihurumie Taifa la kesho
 
Sera znayumba ,ajira nazo shida ,kusoma nako kwa shida bodi ihurumie Taifa la kesho
Kwa kweli Mungu tu atupe kuyakubali matokeo pale tunapokosa nafasi na kushukuru kwa wale waliopata ingawa inaumiza sana
,si kwa nia mbaya hapana lakini wapo wanafunzi ambao wamepata mkopo angali wazazi wa familia hata kuwalipia nusu ada wanao uwezo huo,lkn kuna waliokosa angali hata robo ya ada familia hawana kabisa Mungu nakushukuru maana nina afya sipo hospitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…