HESLB: Batch One Out Now

Nimeona boom inatoka kwa awamu sijui waliojisajili mapema ndiyo wanaowahi kuingiziwa boom.

Sasa sijui kwa waliojisajili awamu ya mwisho wataingiziwa boom lini.
Apana ss wote huku tayari
 
Hivi baada ya muda wa appeal inaweza kupita muda gani ndipo wahitaji wa mkopo waweze kujua kama appeals zao zimezaa matunda au la?
 
Bodi wamedai watatoa mkeka wa rufaa jumatano hii.

wamesema hayo leo asubuhi,wakati wakifanya mahojiano na clouds fm
Hapana mkuu hukumsikia vizuri Mkurugenzi Mtendaji ndugu Abdulrazaq alisema ni alhamisi ndiyo mkeka wa rufaa utatoka.

Alisema bado siku mbili tu (jumanne na jumatano) mkeka utoke.
 
Hapana mkuu hukumsikia vizuri Mkurugenzi Mtendaji ndugu Abdulrazaq alisema ni alhamisi ndiyo mkeka wa rufaa utatoka.

Alisema bado siku mbili tu (jumanne na jumatano) mkeka utoke.
lets wait chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…