robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 539
- 1,532
Bado haijakua actiivatedVijana Batch one tayari,Login kwenye account yako ya SIPA
bado kwangu ni wait for allocation processVijana Batch one tayari,Login kwenye account yako ya SIPA
Bado hakuna lolote ndgVijana Batch one tayari,Login kwenye account yako ya SIPA
ni kweli wametoa naona kuja mtu kawekewaHao hzo taarifa mnaztolea wap aisee
Hao hzo taarifa mnaztolea wap aisee
Utaratibu wa bodi wa mwaka huu duuu,Batch one n watu wa category ipi? Kuna wa postgraduate ambaye amepata?
Wengine tayar, subir batch 2 tarehe 27bado kwangu ni wait for allocation process
Na sisi ni wakati wetu mkuuAiseee siku zinaenda miaka hiyo siku kama hizi nilikuwa nashinda kucheck SIPA
Ada Je?????Naona mama katimiza ahadi.
Boom, 600k now
Ada, sijajua kwa first yearAda Je?????