Heshima ya ndoa ni tendo

Heshima ya ndoa ni tendo

mkuu huyu jamaa amekiaibisha chama chako pendwa..nikidhani chama hiki husaidia kuondokana na kesi za kihivi...kama jamaa angepiga kimoja cha mkono hakungezuka mtafaruku...
Nimekaa siku ishirini safarini,halafu sijachochora,nikirudi nakuja na energy drinks,na paracetamol akisema amechoka nampa energy drink,akisema kichwa kinauma nampa paracetamol.
 
Wake wengi WANA sababu za kuchoka bila sababu ndio CHANZO KIKUBWA CHA KUCHEPUKA
 
Mwanamke anayechepuka siku ambayo unarudi na hamjaonana muda mrefu hakupendi asilani. Ni wa kuachwa siku hiyohiyo...
 
Nimekaa siku ishirini safarini,halafu sijachochora,nikirudi nakuja na energy drinks,na paracetamol akisema amechoka nampa energy drink,akisema kichwa kinauma nampa paracetamol.

:Silasc
 
Najiuliza mwenyewe alimpiga bila kujua sababu za kumnyima k nazani kulikuwa na sababu apo alipaswa kusikiliza!!
unaanzaje kumnyima mumeo wa ndoa haki yake bila kuwa na sababu za msingi?kama unasababu sawa na ziwe za msingi na unapaswa kueleza kwa mumeo tena kwa nidhamu na utii sio juujuu tu utaambulia makofi lazima!!
WAKATI MWINGINE KUWA NA WAKE WAWILI KAMA INAMAANA AKIZINGUA UYU UNA KWENDA KULE
 
SAWA KABISA TAKE DOUBLE CABIN KIELEWEKE
 
Wote wana makosa
~mke hakutakiwa kumnyima mumewe, maana biblia inasema mke hana amri juu ya mwili wake mwenyewe bali mumewe hali kadhalika na mume.ss kumnyima hapana alikosea.

~Mume alikosea kumpiga mkewe kwani alitakiwa kujua shida ipo wap,pia alitakiwa ajue kachoshwa na nn?then ange mwacha apumzike kidogo halafu alfajiri angejilia vizurii sana bila shida.ss kitendo cha kumpiga hakufanya vema.

-WANAMAKOSA WOTE
 
Ukisema ndoa it means ni watu wawili,,inapokufa wote mnahusika,,ikiwa imara wote mnahusika,so hapo wote ni wakosaji..
 
Kwa hyo 20 days ndio nying mkuu?? Acha kuchekesha
 
Hili ndio tatizo la ndoa za kibabe zisizo shirikishi, jamani tendo la ndoa ni masikilizano na si kuamrishana mbona kumkatalia mwanaume ni kitu cha kawaida tu ila ni lazima utumie lugha nzuri kumuelewesha,sie sio punda wala farasi ukisema geuza unageuza hata kama kunahitirafu MKE SIO MTUMWA WAKO.
 
Mke alitoka kugongwa au ana ugonjwa wa zinaa,,,,,haiwezekane amnyime mwenzake wakati anajua jamaa ana kiu
 
Huwezi kumpiga mke kisa amekunyima unyumba, kukaa siku 22 haihalalishi kwamba wewe una haki ya kufanya unavyotaka wewe, huyo ni binadamu, mpe heshima yake kwa kumsikiliza. Pata muda ongea na mwenzio kwanini hataki kufanya hilo tendo, kupiga sio suluhisho.
 
Back
Top Bottom