Heshima ya mwanamke wa sasa ipo wapi?

Mpango Wa SHETANI KUHARIBU ULIMWENGU KUPITIA WANAWAKE
 
Ni wanaume hawa hawa (wale wasiokimbia majukumu ya ubaba) wakija kubahatika kuzaa watoto wa kike, mitazamo yao inageuka haraka sana. Watataka binti zao wasome wawezeshwe wafike sehemu hawahangaiki kutegemea mwanamme amtunze
 
BInadamu sijui walishindwa nini kusema ukweli Eva ndiye shetani.

Mungu alimuumba Adam tu, hizi story za Eva alitoka ubavuni mwa Adam ni uongo.

Eva ndiye shetani aliyemrubuni Adam amuasi Muumba wake.

Wakatengeneza story kwamba Shetani alimrubuni Eva, eti naye Eva ndiye akamshawishi Adam.

Hakukuwa na shetani, bali shetani ni Eva.

Mungu alimfukuza shetani toka mbinguni na kumtupa Duniani.

Nani kawahi kukutana na Shetani humu duniani?

Au dunia ziko mbili, Dunia yetu na aliyotupwa shetani?

Na kwa uwezo wa Mungu kwanini asingemtupa shetani Jupiter, kwanini alimchanganya nasi viumbe wake?

Turudi mwanzo, tumfahamu shetani kabla hatujaendelea na mjadala huu mzuri.
 
Fungua nitakuja kuchangia.
 
Ukweli mwanamke akifika chuo kikuu sio wa kuoa Tena.

Niliyoyashuhudia UDOM Kwa macho sikuyategemea kabisa!!
Vyuo vikuu vinatengeneza wanawake wa hovyo sana kwaajiri ya jamii. Wanakuwa ni wajuaji,wabishi, non-cooperative, argumentative, aggressive, promiscuous, narcissists, useless, combative, financially illiterated, na mbaya zaidi wanajiona ni high value bila bikra na higher body count.
 
Kama tungekuwa wakweli tungekubaliana mapungufu yamwanamke ni matokeo ya udhaifu wamwanaume
Upo sahihi kabisa. Na wanaume kwa kulijua hilo ndipo tunaamua kushika tena mamlaka yetu unakutana na watu wanakupinga na kukupangia, mimi ndio maana nakuwa mkali na mkorofi.
 
Hebu mfikirie kwanza baba yako harafu sasa toa povu

🚫🤣🤣🤣
Hivi ndio vitoto vya kike ambavyo baba unapambana kukilea kwa upendo baadae kikija kuwa kikubwa kinakuchukia sababu mama yake alikiambia story ya usaliti na kenyewe kananunua ugomvi.
 
Kwetu usukumani hakukuwa na hakuna ukeketeji na wanaume walioa wanawake wengi na haja walitimiziwa

Kuna sababu nyingine
Maana siyo makabira yote walikeketa wanawake

Kaa ukijua hilo
Sijui huwa anatoka wapi na habari zake za kutumia sifa za watu 10 kuelezea watu milioni 1.
 
Wanaume tukubali tu tumepoteza dunia kwa kukumbatia uhuni na harakati za kipumbafu kama ile ya Beijing
Mimi kwenye hilo kundi la wanaume sijawahi kuwapo na watu waliosapoti Beijing na maswala ya 50/50 kwangu nawaona kama ni magasho tu.
 
Siku hizi wanawake wanaheshimiwa sana. Zamani hawakupiga kura, waliozeshwa kwa lazima, hawakurithi mali na walipewa kichapo huku hawana kwa kushtaki.
 
Ni wanaume hawa hawa (wale wasiokimbia majukumu ya ubaba) wakija kubahatika kuzaa watoto wa kike, mitazamo yao inageuka haraka sana. Watataka binti zao wasome wawezeshwe wafike sehemu hawahangaiki kutegemea mwanamme amtunze
Kusomesha mtoto wa kike sio tatizo ni elimu na kumpa kitu cha kufanya maishani. Ila kumpa elimu ya kuishi na mwanaume ni muhimu zaidi.

Kasumba iliyopo sasa ambayo wanawake mpo nayo ni kumjenga mtoto wa kike kuwa mpinzani na adui kwa mtoto wa kiume.

Mimi mtoto wangu ninamfundisha kujitafutia pesa ili aje kuwa msaada na ziada kwa mumewe na si vinginevyo. Sio unamfundisha mtoto wa kike kuwa nakusomesha ili upate elimu upate ajira ili mwanaume asikubabaishe uwe na kipato chako. Upuuzi sana.
 
Kwahiyo unataka kusema mashetani ni haya yanayotusumbua uraiani sio?🤣🤣🤣🤣🤣
 
Siku hizi wanawake wanaheshimiwa sana. Zamani hawakupiga kura, waliozeshwa kwa lazima, hawakurithi mali na walipewa kichapo huku hawana kwa kushtaki.
Ila na kupewa heshima hiyo bado kubehave ni shida.
 
Wewe Jadda sijui nikuite m’dada,m’mama au m’bibi i don't know yaani wewe kifurushi cha ujinga wa kijinsia ulichojiunga kudhani unajitetea dhidi ya wanaume kimekufanya hadi una-act uwendawazimu.

Unaandika maneno mengi halafu pointless nadhani hata jinsia yako wenye akili tulivu kidogo wanakushangaa mfano ulichoandika post #30 ukisema eti wanawake wanazaa watoto wengi kuogopa kuletewa watoto wa nje,really???hujui kama kuzaa ni baraka,kama mama ana nguvu za kuzaa baba ana nguvu za kulisha familia then wafanyeje?mimba zikiingia wakatoe kama ulivyotoa wewe na wenye akili kama zako?unawaza sawasawa kweli wewe?
 
Kuna dokta m'moja alishawahi kusema kuwa wanawake huwa hawaumii wakati wa kujifungua kwasababu wangekuwa wanaumia wasingekuwa wanarudi clinic tena kujifungua tena,ila wanaume huwa wanaumia wakipigwa teke au ngumi ya korodani ndio maana huwezi kuta wacheza mpira huwa wanalinda korodani kipindi cha penati maana hawapendi maumivu yake.

Sasa mtu anakwambia wanawake hawapendi kuzaa hivi unamuona yupo sawa sawa kweli huyo?

Yaani wanawake hawa wanaokesha kwa waganga,kwa mwamposa kuomba kupata mtoto na wakipata bado wanatafuta mwingine tena na tena wawe wanachukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…