Heshima ya CPA holder ma Masters inashuka sana.. Nini kifanyike?

Heshima ya CPA holder ma Masters inashuka sana.. Nini kifanyike?

Hata wewe kwa uandishi huu wa as na as na as, ninapata wasiwasi na hiyo kampuni yako
 
  • Thanks
Reactions: T11
Nionavyo mimi tatizo kubwa ni ajira, kuporomoka kwa ubora wa elimu na mwamko wa watanzania kujiendeleza vyote vinachangia. Miaka ya nyuma kidogo bank tellers walikuwa form 4 & 6 leavers, lakini sasa lazima uwe na sifa ya shahada ya kwanza japo kazi ni zakawaida sana. Lakini pia swala la ubora wa wasomi umepungua sana, kama badhi ya vijana wahitimu wa kidato 4 hawajui kusoma/kuandika, unajiuliza kafikaje kidato cha 4? Vivyo hivyo inaendelea juu mwenye shahada ya kwanza uhasibu hajui hata balance sheet..hivyo waajiri wanalenga juu zaidi kupata ubora, madhara yake sasa vipato na thamani ya CPA vinaendelea kushuka hata kwa wale wenye sifa. Nimekuwa nikiwa observer wa usaili wa kazi mara nyingi, CV na vyeti vya waomba kazi ni vizuri mno , balaa linaanza kwenye mahojiano..inaduwaza vyeti na muomba ajira tofauti hujui kapataje vyeti hivyo. Si swala la lugha. .wapo wanakuja na viingereza vyao safi lakini wanaongea utumbo tu. Siamini sana CPA imeshuka ila wahitimu wa CPA/Masters wameongezaka sana na imekuwa si bidhaa hadimu tena. Vijana siku hizi anaanza darasa la kwanza mpaka Masters bila kusimama ndio anatafuta kazi
 
nimewasikia vizuri sana wachangiaji wa hii mada,lkn tumeshajiuliza au nani anajua mahitaji halisi ya wahasibu kwenye soko la ajira iwe serikalini au sekta binafsi?
 
Anayesema hiyo mitihani ni mirahisi hajaisoma hiyo CPA mm nimeisoma na ninayo ila ilinichukua miaka miaka 6 kuipata ofo course nilianzia module za chini.Kwa taarifa yako kwa wastani wanaoanza ngazo ya ATEC huchukua miaka 10 kupata CPA,wanaoanzia Final module zamani E na F huchukua miaka 3.Wanaopita straight hawazidi asilimia 5 ya watahiniwa wote kwa kila sitting! CPA ni habari nyingine kabisa!na nusu ya wanaoanza wakilambishwa mchanga mara2 tu wanaghaili wanaenda kusoma Masters.7siombe wakusimue madhira wayapatayo wenye CPA unaweza kulia ndugu yangu...
 
baada ya kuipata kwenye soko la ajira ina mchango gani nowdays??

maana cpa holders wengi wanafanya kazi za ajabu tu hadi wengine u bank teller

Anayesema hiyo mitihani ni mirahisi hajaisoma hiyo CPA mm nimeisoma na ninayo ila ilinichukua miaka miaka 6 kuipata ofo course nilianzia module za chini.Kwa taarifa yako kwa wastani wanaoanza ngazo ya ATEC huchukua miaka 10 kupata CPA,wanaoanzia Final module zamani E na F huchukua miaka 3.Wanaopita straight hawazidi asilimia 5 ya watahiniwa wote kwa kila sitting! CPA ni habari nyingine kabisa!na nusu ya wanaoanza wakilambishwa mchanga mara2 tu wanaghaili wanaenda kusoma Masters.7siombe wakusimue madhira wayapatayo wenye CPA unaweza kulia ndugu yangu...
 
Shaurimbaya elewa hata Masters holder na PHD wapo wengi ni matellers kwenye mabenki kwa taatifa yako mm ni banker huu ni mwaka wa 12.Tatizo vijana wanaunganisha shule tu kwa sabb wazazi wanajiweza alafu wanajipaatumaini kuwa wakiingia makazini wanakuwa maboss.Ss unakuwaje boss bila uzoefu!
 
Anayesema hiyo mitihani ni mirahisi hajaisoma hiyo CPA mm nimeisoma na ninayo ila ilinichukua miaka miaka 6 kuipata ofo course nilianzia module za chini.Kwa taarifa yako kwa wastani wanaoanza ngazo ya ATEC huchukua miaka 10 kupata CPA,wanaoanzia Final module zamani E na F huchukua miaka 3.Wanaopita straight hawazidi asilimia 5 ya watahiniwa wote kwa kila sitting! CPA ni habari nyingine kabisa!na nusu ya wanaoanza wakilambishwa mchanga mara2 tu wanaghaili wanaenda kusoma Masters.7siombe wakusimue madhira wayapatayo wenye CPA unaweza kulia ndugu yangu...

Pole. .wapo ambao hupita kirahisi vichwa na majukumu hutofautiana.
 
Anayesema hiyo mitihani ni mirahisi hajaisoma hiyo CPA mm nimeisoma na ninayo ila ilinichukua miaka miaka 6 kuipata ofo course nilianzia module za chini.Kwa taarifa yako kwa wastani wanaoanza ngazo ya ATEC huchukua miaka 10 kupata CPA,wanaoanzia Final module zamani E na F huchukua miaka 3.Wanaopita straight hawazidi asilimia 5 ya watahiniwa wote kwa kila sitting! CPA ni habari nyingine kabisa!na nusu ya wanaoanza wakilambishwa mchanga mara2 tu wanaghaili wanaenda kusoma Masters.7siombe wakusimue madhira wayapatayo wenye CPA unaweza kulia ndugu yangu...

Pole. .wapo ambao hupita kirahisi vichwa na majukumu hutofautiana. Sina maana ndio rahisi ila uwezo binafsi. Kauli namna sizipendi hata watoto wangu sipendi kusikia eti somo hili tumefeli wengi. .hao wachache walioweza wamewezaje?
 
Duh kumbe na law skul(advocate) sio ishu siku hz[emoji19] [emoji19]
 
Shafi...umeeleweka vizuri sana. naungana na wewe kwa kiasi kikibwa. Mtoa Mada naona amechanganya mambo mengi sana kwenye hoja yake..sijui anazungumzia watu wengi kupata CPA ?au wenye CPA kukosa kazi? au wenye CPA kushindwa kuperform. maoni yangu hizo ni mada kuu tofauti tena pana sana!..

Big Up kwa hoja zako
 
CPA holders wamejisahau wengi sana na hawana ubora hhata kidogo.Uchumi wetu haukui na viwanda vimekufa sasa ajira ni zile zile,lazima mshahara uwe mdogo kwa kuwa mwajiri haihitaji masters au CPA ,ndio maana kazi unazofanya ni za kikarani.alternative ni kuungana na kufungua firm ya consultancy
 
Someni taaluma mnazofurahia kufanya kuliko kusomea mshahara mkubwa. Isitoshe suala la ukosefu wa ajira duniani linaongezeka siku hadi siku hivyo usishangae mtu mwenye elimu nzuri kulipwa isivyofaa bali shangaa kukosa kabisa hiyo ajira.
 
Nikupe challenge mtoa mada, nenda katafute CPA-PP Ambae ni bank teller au ambae amekosa kazi halafu urudi hapa useme CPA imeshuka heshima.Jaribu kuingia kwenye website zinazotamgaza nafasi za kazi halafu uangalie ni nafasi gani za kazi zinatangazwa kuzidi kazi yoyote ile kama sio ACCOUNTING&FINANCE na kote huko kazi nyingi zinataka CPA holder, search afu ulete feedback hapa
 
Tatizo ni kwamba mtu anatoka shule, hana uzoefu wowote wa kazi (na hivi elimu yetu ni ya kukariri tu) then anaingia CPA au Masters direct... Aiseee ni majanga sana, unakuta mtu amekariri tu hana lolote kichwani na Masters yake... Na wengi wa wanaotaka hivi ni wazazi, unakuta mzazi ana kauwezo kidogo basi mtoto akimaliza first degree anamtwisha mzigo mwingine wa masters hata kama hiyo degree yake wala hajaifanyia kazi yoyote... Mwisho wa siku hawa vijana ambao wana Masters zao lakini hawana uzoefu wowote kazini, mashirika mengi yamekuwa yakiwakwepa kuwaajiri..
 
CPA ina madaraja yake..graduate accountants ndo wengi wanafata acpa..cpa pp ndo wakuhesabu tena wengi wazee..still a highly respected profession..I want to encourage wale wanaoanza..never give up...keep practicing and increase your competence..it pays a lot
 
Tatzo kubwa ni PERSONAL BRANDING watu bado hawajaweza kujimarket na hawana vision going for Postgraduate au CPA na other chartered and professional exams kumekuwa ni fashion watu wajue kujiBRAND wata earn much more nafaham watu wengi there paid handsomely na wana hold executives position ila wana bachelor tu bila.hata ya hzo CPA
 
Mleta Mada Remember you do not get what you want, you get what you are.

Umemaliza CPA unafanya kazi ya karani na ukarani wako hauna tofauti na ukarani wa aliyemaliza form four au elimu yeyote ya chini halafu unataka uangaliwe kwa jicho la tofauti wakati wewe hujaleta tofauti yoyote kwenye ukarani unaoufanya ni ngumu. Niliongea na kiongozi mmoja akaniambia tatizo siziooni hizo CPA na masters kwenye kazi, niliziona kwenye makaratasi ya kuombea kazi kiasi kwamba nakosa ujasiri wa kuwapa kazi zenye chanagamoto zaidi.

Kumaliza CPA, Masters ya finance, engineering, medicine, economics, Business Administration, Laws au fani yeyote ile ni hatua ya kwanza ya kupata ujuzi. Ujuzi halisi unaupata kazi kwa kuwa na maono binafsi/personal vision yanayokusukuma ujifunze kila wakati ili kuongeza ufanisi kwenye kile unachokifanya. Ukitaka heshima kabla ya kazi hutaipata, na ukitaka kazi kabla heshima, heshima itakuja kwako. Watu watakuheshimu na kuku-reward kwa kile unachofanya si kwa kudai heshima. Usiende kuanza kazi na mtizamo wa watu kuheshimu makaratasi yako nenda kazini ukaonyeshe kwa vitendo kile ulichojifunza.

Nilipata mtu mmoja kazini kwangu amemaliza Masters nikaanza kunuelekeza namna ya kufanya kazi, ilipoelewa mambo machache akaanaza kujigamba kuwa bila yeye mambo hayaendi, nikaacha kumuelekeza akaanza kulalamika kuwa nina mtenga na akaenda kushitaki kwa the leaders kuwa ninamtenga lakini alishindwa kuthibitisha hoja yake kwa sababu hakuwa ametengwa ila aliachwa kuelekezwa kwa sababu aliesema anajua. Alipoona watu wengi wanaona hawezi kudeliver, alitafuta kazi nyingine sijui huko anaendeleaje.

Ninachosema kwamba mleta mada anazungumzia heshima ya CPA na Masters, mimi nadhani shida iliyopo ni kuwa kazi za watu hawa hazionyeshi hizo CPA na Masters walizo nazo kwenye kazi zao.

Add value to your work you will be valued, show difference in what you do, you will be looked at differently. Some employers I know do not pay your education, they pay and respect what you do.



Habari ya weekend wadau..

Mi mdau wa elimu ninafanya kazi kampuni moja kubwa tu jina kapuni na kwa nature ya kazi yangu imenikutanisha na watu wengi sana wa kampuni na mashirika tofauti walio kwenye department za finance.. as tunategemeana sana kwenye kazi as kufatilia malipo etc etc...

Kwa kuangalia kwa mwajiri wangu.. accounts dept ina staffs zaidi ya 50 na karibu kila mtu amejiendeleza as kwa kujua umuhim wa elimu..

CPA holders 17 na masters holder kibao as kila mtu anakopa hela au anasave anaenda shule hata za jioni..

Cha kushangaza kazi ni zile zile za kikarani tu as ass accountant

Post kubwa ni chache as finance manager hawawezi kuwa 10 hata wawe na elimu vipi lazima awe mmoja tu.

Chief accountant nae ni mmoja tu..

Hata team leaders may be accounts payable au receivable lazima awe mmoja tu..

So hii inawapa manunguniko wengi as wamesoma wana CPA na masters lakini ajira hakuna za maana.

Kila sehem utakapoenda CPA holders wamejaa but kazi za kikarani tu mshahara hata milion moja net ishu.

Zamani CPA kuipata ilikuwa wateule wachache na hata kazini walikuwa majembe but now days mtu ana CPA but makosa kibao.

Je, ni mitihani ya CPA imekuwa myepesi sana au nini shida?

Au syllabus ya NBAA ina mapungufu.

Je, nini kifanyike value ya CPA iongezeke?

Na hata mitaani nina watu wana CPA lakini zaidi ya miaka mitatu wanaganga njaa tu na bahasha na hata vikazi ni vya ajabu ajabu wanavyofanya as hawana furaha kabisa.

Je, ni sahihi kukopa hela zako kuwekeza kwenye elimu zaidi kama masters au CPA kwa dunia ya sasa inavyoenda?

Maana waajiri hasa wageni nafasi nyeti wanajipa wao tu as huwezi kuta finance manager au chief accountant mswahili kwenye multinational companies so na ma CPA yetu bado wanatudharau tu.. nba wachukue hatua gani?
 
Ishu hapa ni Supply Vs Demand. Ni kweli usiopingika kwamba huko zamani wahasibu wenye CPA walikuwa ni wachache sana sana, NBAA walikuwa wanabana sana, kuanzia utungaji wa mitihani mpaka kusahihisha. Kwa hiyo wahasibu walikuwa wachache.

Leo hii Mambo yamebadilika, CPA imekuwa sio ngumu ki vileee. Kwa hiyo watu wengi wanao.

Hili swala limekuwa kama mtu kuwa advocate sasa (baada ya kufaulu Bar exams). Ma advocate nao wamekuwa wakumwaga mpaka field ya Law imekuwa Chaka.
Mkuu unakosea sana ukisema mitihani ya CPA siyo migumu, ni migumu na wengi wanafeli, utitiri wa CPA holders unatokana na hari ya vijana kusoma na uhitaji wa soko la ajira. Wasomi wa siku hizi ni wengi mno kulinganisha na miaka iliyopita, na ni vijana wajanja na ambitious, hawajachoka akili kama wale wazee waliokuwa wanakuja kuchukua CPA wakiwa na miaka 40-45
 
Bora cpa kivumbi na jasho ni cpsp yani kama vile. Huna elim kabis
 
Back
Top Bottom