ni ujinga kumsalimia mtu hasa rais wa nchi yako mkono mfukoni. jamani hata kama jk ametuharibia nchi bado ndiye rais wetu at least a general respect is needed.
huyu dogo ni b.w.e.g.e akili hamnazo.
...Dogo alinimaliza aliporudi kutoka UK kufanya majaribio Westham alishauriwa akirudi bongo apige menu kali na mazoezi sana awe na stamina ya kutosha then arudi tena...yeye akatafuta mchumba na kuoa!!...nadhani haithamini taaluma yake.Inawezekana mfukoni kaweka mirungi, naogopa isimdhalilishe kwa preside.
Dogo hana nidhamu kabisa plus uelewa wake ni mdogo sana. Hivi kweli rais wa nchi haji kama Mzee wa Rula ukimuita, hivyo hata kisaikolojia inamaana alishindwa kujiandaa. Ukienda mahakamani unajua kabisa sitakiwi kupiga kelele, hospitali unajua kabisa nitakutana kabisa na wagonjwa n. k. Kwa maoni yangu Ngasa kachemka.
Dogo anaingia shambani bila ya shaka.Dogo akili haziko sawa. Havuti kweli?
ni ujinga kumsalimia mtu hasa rais wa nchi yako mkono mfukoni. jamani hata kama jk ametuharibia nchi bado ndiye rais wetu at least a general respect is needed.
huyu dogo ni b.w.e.g.e akili hamnazo.