Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,947
- 62,761
- Thread starter
-
- #21
Mnakosea. "Old school slang" tynayoijuwa ni "mapopo".
Na huo utetezi wako ndio unaodhihirisha viwango vya shule.
Utaitajaje nchi nyengine kumaanisha raia wa nchi nyengine? Fikiri.
Si kila ulisikialo mitaani lina maana, mwengine ni ujinga tu.
Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".
Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.
Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.
Ulisomea ujinga eenh?
Sipo hapa kubishana kuhusu "slang" za "urban languages".Dunia haijanyooka kama unavyotaka wewe iwe!
Labda nikuwekee tu Urban Dictionary uone watu wakizungumzia "Naija" wanamaanisha nini
View attachment 1199720Urban Dictionary: naija
Naija is another name for Nigeria, the patroitic name for Nigerians to show thier strength and smartness. Naija can be a noun, and an adjective as well. As a noun, it is a name of a place, and as an adjective, it qualifies a noun.www.urbandictionary.com
Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".
Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.
Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.
Ulisomea ujinga eenh?
Hekima yako siyo hekima yangu. Kumbuka hilo.Haka Kabibi sjui kakoje, hv ungtumia Hekima tu kumuelewesha mjukuu wako ungpukiwa nn?
Shame on you
Dunia haijanyooka kama unavyotaka wewe iwe!
Labda nikuwekee tu Urban Dictionary uone watu wakizungumzia "Naija" wanamaanisha nini
Uko out of touch, husikilizi miziki, wala kuangalia sinema kutoka Naijeria au kutembelea mitandao ya wanaijeria na kusikiliza celebrities wao. Hilo neno "Naija" ni common sana kwa wanaijeria kujitambulisha nalo!
View attachment 1199720Urban Dictionary: naija
Naija is another name for Nigeria, the patroitic name for Nigerians to show thier strength and smartness. Naija can be a noun, and an adjective as well. As a noun, it is a name of a place, and as an adjective, it qualifies a noun.www.urbandictionary.com
Haka Kabibi sjui kakoje, hv ungtumia Hekima tu kumuelewesha mjukuu wako ungpukiwa nn?
Shame on you
Hilo si tatizo nadhani hapa siyo "audience" ya Wanaijeria. Au hilo nalo gumu kwako kulifahamu?Wanigeria wenyewe wanajiita "wanaija" hata siku moja mniger hajiiti mnaija. Hapa umepuyanga Bi foxy
Wewe si ndiyo wale mnaovaa suruali chini ya makalio? Bisha.& na mm najua kabisaa mtu akisema naskia mzik wa naija sina shaka kabisaa najua anaskiliza mziki wa Naijeria Astuchanganye na uzee wake apelek huko uzee wake
Hii avatar yako ni wewe mummy?Mti usio na matunda haupopolewi.
Usijali.
Hilo si tatizo nadhani hapa siyo "audience" ya Wanaijeria. Au hilo nalo gumu kwako kulifahamu?
Si kila ujinga wa kuiga. Nyie ndiyo wale mnaovaa suruali chini ya makalio mkaiga mkiona ni fashion kumbe wenzenu walikuwa wanatangaza chupi za mashoga.
"tazama huyi bibi kafanana na mbwa wake",
. Jiwekw kwenye "standard"
Mnakosea. "Old school slang" tynayoijuwa ni "mapopo".
Inawezekana labda huyo bibi alikuwa anajua maneno hayo tuMnakosea. "Old school slang" tynayoijuwa ni "mapopo".
Na huo utetezi wako ndio unaodhihirisha viwango vya shule.
Utaitajaje nchi nyengine kumaanisha raia wa nchi nyengine? Fikiri.
Si kila ulisikialo mitaani lina maana, mwengine ni ujinga tu.
Kama hiyo haitoshi. Hapa upo JF haupo mitaani. Jiwekw kwenye "standard" ya kuwa maandiko yako yanasomwa na watu wa aina mbali mbali na usifikiri kuwa na ligha ya mtaani ni ujanja sana.
Huwezi kuongea Kiswahili India wakakufahamu ingawa unaweza kubahatisha mmoja anaekijuwa cha kuombea maji.
Umenikumbusha mwaka 1974 nilikuwa Uingereza na tukapanda bus (Waswahili watatu). Ndani ya bus, jirani na tulipokuwa kulikuwa na bibi mmoja wa Kiingereza na kijibwa chake. Mmoja wetu akasema "tazama huyi bibi kafanana na mbwa wake", yalikuwa si maneno mazuri lakini ndiyo yashamtoka mwenzetu.
Bus lilupofika anaposhuka yule bibi, wakati anashuka akasema "ahsanteni sana, nawatakia safari njema". Kumbe akitusikia yote.
hapo ndo huwa nakumbuka ishu ya Akwilina, kama tulishindwa kupigania haki ipatikane kwa malaika yule aliekufa bila hatia na wauaji wake waendelea kula maisha, we are HOPELESS.Kama hapa kwetu tunaonewa tumeshindwa kureact, huko nchi za wenzetu tutaweza kweli?
Huwa sikisii. Kumbuka hilo.Bibi anazungumzia NIGER, hiyo NCHI inatamkika NIJAA kwa kiswahili au NEEJAIR kwa kifaransa siyo NAIJA
Unanisoma kwa uoga au unakisia.Hahaha umechomoa betri bibi na moto umekushika, naona unavunga baada ya kuchemsha
Kabla hujavamia mada, kwanza uwe na uwelewa wa kutosha wa mada iliyo barazani!
Vyovyote vile "it was so embarrassing" na ikawa fundisho kubwa kwangu, nikisikia mtu anamsema mtu toka siku hiyo namkanya "live".Inawezekana labda huyo bibi alikuwa anajua maneno hayo tu
Unanisoma kwa uoga au unakisia.
Unatafuta pakutokea?
Hapa "ligi" mpaka kukesha.
Huwa sikisii.