Heshima kwa mjomba popote ulipo

Heshima kwa mjomba popote ulipo

super mimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
223
Reaction score
173
Nikawaida kusikia mtu akisema kupitia mjomba wangu flan niliweza kufanikiwa na kufikia hapa nilipo Leo.

Wajomba wamekua kimbilio la wengi Mara tu wapatapo changamoto katika maisha
Utasikia watu kadhaa wakisema baada ya kufeli darasa la saba nilienda kwa mjomba mjin akanitafutia kazi au akanifundisha ujuzi.

Inasemekana na kuonekana kwamba wajomba wamekua chachu ya mafanikio ya wengi hapa duniani .

Hivyo basi nami pia katika kuheshimu michango ya wajomba natoa heshima zangu za dhati kwa wajomba .

Nawasilisha kwenu wakuu.
 
Mjomba ni ndugu yoyote wa kiume upande wa mama..
hata mtu tu anaefahamiana nae anaweza kuwa mjomba
 
ni kweli, hata tajiri no. one Africa billionea Aliko Dangote alipewa mtaji wa kwanza na mjomba wake na mara kwa mara huwa ana acknowledge hili.....

Ila mimi nilitoswa mtaji na anko wangu na yupo vizuri sana kwa kweli. Nikahustle from the scratch, after two years nikawa stable ndio akanambia aniongezee mtaji kiasi gan, nikamwambia sasa hivi sihitaji...... nikihitaji ntamjulisha.. but I swear sitokuja kumuomba tena ni kheri nikakope kwenye financial institutions.
 
Baharia inaonekana haujakutana na wajomba mavi.
Mimi mpaka leo mjomba namcheki hata simmalizi.
Mtu kusaidia au kutosaidia ni mtu mwenyewe tu, haihusiani na ujomba wala ushangazi.
Haya mambo hayahitaji undugu na hayana fomula.
 
Kongole kubwa sana kwa wajomba popote walipo Mungu awapiganie katika mapambano yao✊✊✊
 
Back
Top Bottom