Hesabu zinavyoipa ushindi CCM

Hesabu zinavyoipa ushindi CCM

na bado mtakuja na tafiti nyingi sana ili kuwachanganya wapiga kura, lakini mjue tu kwa sasa watu wameziba macho na masikio wanakomaa na misimamo waliyojiwekea na wanatunza vikatio vyao kwa tahadhari kubwa.

Asante Cardinal06. Nilitegemea sisi wachangiaji kama wana mageuzi kujadili mini cha kufanya kwa mle go na mfumo saidizi wa ushindi kwa ma ccem, lakn babala take tunaendelea KUHEMUKA na kumshambulia mwandishi.
Kweli bado!
 
NIPO WAZO SAWA NA MWANDISHI MAZINGIRA KWA ASILIMIA KUBWA INAONYESHA CCM WATASHNDA KWA ASILIMIA KUBWA.Mwandish ameyaainisha mambo yafuatayo mosi tume huru ya uchaguzi haipo pili mazingira ya vijijn bdo yanaipa ccm ushndi tokana na elimu duni ya wapigakura kurubuniwa kw vitu vdogo km tishet kofia vitenge napombe.tatu wapiga kura weng wapo vjjn naweng wao n wanawake nahao hao ndyo wanaipenda ccm,kumbuka hao hao ndyo waliompgia kura jk sbb ya sura labda kdogo mwaka huyu mzee wetu luwasa sura itambeba kwa wanawake wa vjjni.nibora tukatafutia hoja za mwandish utatuzi kuliko kupinga bila sbbu.mm nipo mjini na vijijini ktk shughuli zangu hayo anayosema mwandish nikweli tusimbishie
 
Nipo tayari kubet. mkoa wa Iringa CHADEMA watachukua majimbo mawili tu, mkoa wa Njombe CHADEMA hawachukui hata jimbo moja. Mkoa wa Arusha CHADEMA itachukua majimbo matatu tu.
 
nan kakudanganya?tena sasa hv wameamka kwa mwanamke kupendekezwa kua makamu wa rais,umoja wa wanawake ccm upo so powerfl compared na wa chadema unaongozwa na halima mdee,halima mdee hana convicng power kwa wanawake compare na viongoz wa ccm ambazo ni wamama watu wazima wanaokubalika..mf.sophia simba,asha roz migiro,i thnk ukawa u dnt hav 2 undrmine de power of dx group
Acha kujidaganya na mtaji wa wanawake ccm mumepoteza mvuto kwa kila mwananchi si wa kiume wala wa kike. Jiandaeni tu kisaikolojia wanawake hawataki kutumika mana ni waathirika wa uchumi mubovu.
 
Ata mje na madebe ya tafiti, uhalisia unaonyesha watanzania tumechoshwa na ccm. watanzania wengi wanashauku ya kupata mabadiliko na mabadiliko ayatokei ndani ya ccm ata magufuli analitambua na pia na shabik mkubwa wa Lowasa.
 
Kinachoipa kiburi ccm ni makelele ya vijana ambao wakiongea utasema kuwa Chadema itaahinda ila wanshindwa kujua kuwa vijana wanapiga makelele sana na na idadi yao ni ndogo sana. Kwa hali ya kawaida wanawake ndio wengi hapa Tanzania hesabu za CCM ni kura za wanawake na ndio wataipa ushindi CCM... Hii pia ni hesabu
Are you for real yaani vijana ni wachahce kuliko wanawake takwimu zipi unazozizungumzia rejea sense ya 2012 itakupa picha halisi vijana ndio watakao peleka ukawa ikulu ndio chachu ya mabadiriko both males and females
vjijin ndiko ushndi mkubwa ulipna katika serikaliza mitaa kwa hiyo musijidagnye kwamba cadea hawako vijijini
ampeni za Dr Saa chadema ni msingi ndio zimejenga imani ya wapiga kura uimya Dr Slaa ni tunu
 
Chadema ni watu wachaxhe sana hapa tz ila wanavyoongea utadhan ni kundi kubwa la watu. Tukutane tar 26 October
 
Acha kujidaganya na mtaji wa wanawake ccm mumepoteza mvuto kwa kila mwananchi si wa kiume wala wa kike. Jiandaeni tu kisaikolojia wanawake hawataki kutumika mana ni waathirika wa uchumi mubovu.

Ccm ina wanawake wengi na ndio watakaoipa ushindi.. Mjipange maana wale wanachojua chadema ni chama cha watu wa fujo
 
Ccm ina wanawake wengi na ndio watakaoipa ushindi.. Mjipange maana wale wanachojua chadema ni chama cha watu wa fujo
Vitu vimechange sana sasa ivi kusema eti wanawake tu labda wale wa zamani mana vijana ndo wengi kwa sasa msifikirie mteremko hali ya kisiasa imebadilika na kuna awareness kubwa sana ya watu hawadaganyiki kama zamani.
All in all time is the best judge
 
Utafiti umeshafanywa lkn uchaguzi utafanyika October 25.Sanduku la kura ndo litaamua.If election will be free and fair,anything can happen.Hata mtangaza matokeo inabidi atangaze bila external force
 
Hata kama ni tafiti ulizoziona wewe sio uhalisia.Tena za zamani. Leta za sasa baada ya Lowasa kuvaa gwanda. Bora uandike kitu watu waone angalau aslimia 1% ya ukweli. Ww ndio unajidanganya na tafiti za kipuuzi.
 
Vitu vimechange sana sasa ivi kusema eti wanawake tu labda wale wa zamani mana vijana ndo wengi kwa sasa msifikirie mteremko hali ya kisiasa imebadilika na kuna awareness kubwa sana ya watu hawadaganyiki kama zamani.
All in all time is the best judge
Mbona unahaha Ndugu??

Tulia buana Mfa maji haishi kutapatapa..
Kiyama yenu Mwezi October
 
Mbona unahaha Ndugu??

Tulia buana Mfa maji haishi kutapatapa..
Kiyama yenu Mwezi October
Chama tawala ndo mnahaha sana hata nyuso zinaonyesha wizi wenu ndo umefika mwisho na wewe kama huku invest itakula kwako mana mirija itakatika ule ujinga wa bungeni na ndio ndo kwishney kabisa.
Jiandaeni kisaikolojia
 
Back
Top Bottom