Hesabu zinavyoipa ushindi CCM

Hesabu zinavyoipa ushindi CCM

Ukawa walikuwa wanashinda game hii, lakini kwa madudu haya waliyofanya ya kutuaminisha nyeusi kuwa nyeupe. Msahau. Mtaani tuna hasira sana na lowasa wenu, tunachoamini maisha magumu yote haya sababu ni lowasa aliyepiga madili makubwa makubwa. Hayo madodoki ywnu mwisho tarehe 24 oktoba. Oktoba 25 kura kwa magufuli japo ccm hatuna mpango nayo.
 
kwa taarifa yako tu watu wanamjua lowasa vijijin kuliko maguful.
toka 2012 wananch wanajua yule mwenye nywele nyeupe ndio ataachiwa nchi..so wananch watakuwa wanaangalia nywele nyeupe tu wanaweka tiki
 
Back
Top Bottom