JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,201
- Thread starter
-
- #81
Mmeanza mahesabu yn ya wizi eeeh, kura za lema hazitaibiwa km mnatakusikia harufu ya damu mtiririko kura za lema ziibiwe muone.
Lema atashindwa kihalali kabisa bila kuibiwa hata kura sifuri. Kama mnategemea kufanya vurugu kwa kisingizio cha ubunge wa lema jiandaeni ila mkae mkijua hamtaweza kuvuruga amani ya nchi.
Jidanganye tu Arusha tunajielewa !!
Yani tulishaapa hata tuweke Jiwe Vs Ccm tutachagua Jiwe na litashinda!!
Hahaha hapa Kura hamuibi hata 1!!
huwenda wewe si mkazi wa arusha
Lema ajiandae kwenda kuchukua nafasi ya Alfonce Mawazo kule Geita.
Soma huo msatari wa mwisho,halafu jiulize huyo 'mungu' gani umemtaja mstari wa kwanza.
bado kafu usisahu maana wapo wore hapo ... ukawa,
Kama anachoeleza mtoa mada ni sahihi basi nilitegemea walau CCM wangepata walau viti 12 au 13 kati ya 25 vya udiwani vilivyoshindaniwa Arusha mjini. Badala yake CCM wameambulia kiti kimoja tu. kwa hali ya kawaida huitaji kuwa mchambuzi mahili wa siasa kujua Lema atashinda.
JFK wabongo "Monaban Atosha Arusha"
Hiyo statement inakuondoa kwenye mantiki ya bandiko na imekupeleka kule akili yako inaposinzia.
Segerea mbuge wa ccm 'kata zote ukawa
Mmmmh kuna watu Wana moyo.....
Kama una ushahidi nenda mahakamani, vinginevyo nyamaza... By Lowassa.yaani tumchague huyo monabani mvamizi wa viwanja vya umma awe mbunge.sio wajinga kiasi hicho
Ni kweli kabisa Lema ana hali mbaya sana
Lowassa ndiye mlezi wa hiyo familia na Lowassa ndiye aliyempeleka huyo mtoto pale MonduliYule ni mtoto wa sokoine. Lowasa hana undugu wala ushirika wa kibiashara na Sokoine. Ila kwa Monaban ni kinyume chake.