ideal safarimate
Member
- Mar 17, 2016
- 71
- 91
Haya wataalamu wa hesabu tushike peni...tumjadili jamaa aliyekuwa anaiba shilingi milioni saba kwa dakika moja, Rais Jana katuambia. Dakika moja mara saa zima, dakika 60 hizo. Haya 60 mara milioni saba? Haya hiyo idadi mara siku moja means saa 24?...halafu mara wiki? Mara mwezi? Mara mwaka? Mara miaka? Jibu ni BILL GATE-Edo Kumwembe