Basi usitumie nguvu kubwa kuonesha madaraja subiria ushindi wa kishindoKwani wewe unaishi nchi gani mpaka Leo hujaona? Yaani Membe amfikie JPM? Kwa lipi? Hata kama akili zako umeshikiwa, huwezi kufanya hesabu ndogo tu ukaona?
Membe ana nini zaidi ya posti zenu za mtandaoni?
Mtoto wa JPM nchi yako usiongee sanaHii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo poyoyo kama mtu unayemshabikia.
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwani wewe unaishi nchi gani mpaka Leo hujaona? Yaani Membe amfikie JPM? Kwa lipi? Hata kama akili zako umeshikiwa, huwezi kufanya hesabu ndogo tu ukaona?
Membe ana nini zaidi ya posti zenu za mtandaoni?
Anasema yeye ndiye mnogesha uchaguzi. Anakuja kuchukua nafasi ya u-MC.Membe atulie ale.pensheni yake taratibu,atajiletea magonjwa ya moyo bila sananu.Kukubalika jimboni.lwale hakumaanishi kukubalika nchi nzima
Angeachana na haya masuala.ya Urais ueue akagombee UbungeAnasema yeye ndiye mnogesha uchaguzi. Anakuja kuchukua nafasi ya u-MC.
Huu ni ukweli mchungu......Hesabu za Membe hazipo sawa sawa. Lowassa alifanya timing muhimu mno. Mwaka pekee ambao tungeshudia Upinzani ukishika dola ulikua ni 2015. CCM ni chama kinachobadilika kulingana na mazingira. Kinajikosoa na kubadilika.
1. CCM ilikua imechukiwa na raia. Hivyo 2015 ilikua ni karata muhimu kuiondoa CCM madarakani.
2. Lowassa alikua na umaarufu na uwekezaji mkubwa kwenye safari yake kuelekea IKULU. Sioni Membe akifika hata nusu za harakati za Lowassa.
3. Membe anakwenda kupambana na CCM iliyorudisha imani kwa raia. Anakwenda kukutana na siasa za Upinzani zilizogawanyika. Sitegemei ile spirit ya UKAWA kuwa live. Mwaka 2015 kulitokea kusalitiana. Vyama vya upinzani haviaminiani kirahisi.
Huyu anataka kuweka tu historia kuwa aliwahi kushiriki/kugombea urais wa Tanzania. Lakini siamini kuwa kutoka ndani ya moyo wake kuwa anaamini kuwa atashinda uchaguzi.Lowassa ametoa funzo. Membe alipaswa kujifunza kupitia historia ya mwaka 2015. Si wakati rafiki kwa Membe kugombea kupitia upinzani ambao hauna umoja.
Umenena vyema.Nilishaandika nyuma mwaka huu hata kura akihesabu mwenyekiti wa CHADEMA upinzani hawawezi kutoboa.
CCM kwa awamu hii imesharudisha imani kwa wananchi na huu mwaka JPM atapata A ya kura zote.
2015 walipata shida saana na wameshajisahihisha. Hapa tusubiri 2025.
Upo sahihi kabisa ndugu yangu.Huyu anataka kuweka tu historia kuwa aliwahi kushiriki/kugombea urais wa Tanzania. Lakini siamini kuwa kutoka ndani ya moyo wake kuwa anaamini kuwa atashinda uchaguzi.
Tupo pamoja sana.Huu ni ukweli mchungu......
Acha ujinga we Jomba. ..tume huru ndio inapiga kura..??mnachekesha sana. Badala ya ku invest kwa wapiga kura mnatolea macho tume huru. .ukadhani yenyewe ndio inaleta kura za upinzani. ..wakati mkiendelea kutolea macho tumehuru mkigeukia upande wa pili mtakuta wapigakura wote wamezolewa sasa hapo sijui mtaishia kujipigia wenyewe kura ili tume yenu huru ihesabuKama CCM imerudisha imani kwa raia kwanini inakataa tume huru ya uchaguzi?
Acha ujinga we Jomba. ..tume huru ndio inapiga kura..??mnachekesha sana. Badala ya ku invest kwa wapiga kura mnatolea macho tume huru. .ukadhani yenyewe ndio inaleta kura za upinzani. ..wakati mkiendelea kutolea macho tumehuru mkigeukia upande wa pili mtakuta wapigakura wote wamezolewa sasa hapo sijui mtaishia kujipigia wenyewe kura ili tume yenu huru ihesabu
Seriousness should have started with you not to leave your home and wife to go to vote for a nincompoop, God bless.Vitu vingine tuwe serious unawezaje kutoka home eti nikampigie membe kura, God forbid.
Mwe!Membe ni amepiga hesabu kali kuliko Lowassa. Amesimama kama mbadala wa JPM (alternative to) Amejiseti kwenye mteremko.
Hesabu za Membe hazipo sawa sawa. Lowassa alifanya timing muhimu mno. Mwaka pekee ambao tungeshudia Upinzani ukishika dola ulikua ni 2015. CCM ni chama kinachobadilika kulingana na mazingira. Kinajikosoa na kubadilika.
1. CCM ilikua imechukiwa na raia. Hivyo 2015 ilikua ni karata muhimu kuiondoa CCM madarakani.
2. Lowassa alikua na umaarufu na uwekezaji mkubwa kwenye safari yake kuelekea IKULU. Sioni Membe akifika hata nusu za harakati za Lowassa.
3. Membe anakwenda kupambana na CCM iliyorudisha imani kwa raia. Anakwenda kukutana na siasa za Upinzani zilizogawanyika. Sitegemei ile spirit ya UKAWA kuwa live. Mwaka 2015 kulitokea kusalitiana. Vyama vya upinzani haviaminiani kirahisi.
Kama unafamilia inayokutegenea jalibu kuwauliza kama CCM ya sasa inakubakika,labda uwe tegemezi una kula na kulala kwa Baba na mama.Hesabu za Membe hazipo sawa sawa. Lowassa alifanya timing muhimu mno. Mwaka pekee ambao tungeshudia Upinzani ukishika dola ulikua ni 2015. CCM ni chama kinachobadilika kulingana na mazingira. Kinajikosoa na kubadilika.
1. CCM ilikua imechukiwa na raia. Hivyo 2015 ilikua ni karata muhimu kuiondoa CCM madarakani.
2. Lowassa alikua na umaarufu na uwekezaji mkubwa kwenye safari yake kuelekea IKULU. Sioni Membe akifika hata nusu za harakati za Lowassa.
3. Membe anakwenda kupambana na CCM iliyorudisha imani kwa raia. Anakwenda kukutana na siasa za Upinzani zilizogawanyika. Sitegemei ile spirit ya UKAWA kuwa live. Mwaka 2015 kulitokea kusalitiana. Vyama vya upinzani haviaminiani kirahisi.
Nadhani kura zitakua kama hivi
1. Maguguli 65%
2. Nyarandu 34%
3. Membe 0.5%
4...
Ni afadhali zitto agombee Urais kuliko membe.