Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

Wewe mwenye uwezo mkubwa uko wapi Ajira ya kujishikiza unamuita membe akili ndogo tuliza mshono utaelewa tu mchezo
 
Basi kama anakubarika subiria uone
 
Dah...Bosi.. kwani nani kakwambia hizo hesabu zake? BM anahesabu tofauti na hizo kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Fact check on the ground, JPM anaenda kushinda kwa kishindo. Wakati mgumu kwake ulikua 2015.
Dah... ndiyo maana nasisitiza...hiyo pesa ya uchaguzi wa Rais watugawie tunywee mbege tu [emoji39]
 
Nguvu ya upinzani 2015 haiwezi tokea tena 2020.BM aende chama chochote cha upinzani hawezi pata kura hata nusu ya Edlow.
 
Nguvu ya upinzani 2015 haiwezi tokea tena 2020.BM aende chama chochote cha upinzani hawezi pata kura hata nusu ya Edlow.
Sawa hapati acha kumaliza damu.yako na kupayuka kumponda tunajua hana nguvu subiria uchaguzi
 
Hili la Membe nadhani limewachanganya zaidi wapinzani kuliko CCM. sasa hivi upinzani umejikuta una watu wawili wanaoutaka Urais kwa udi na uvumba. sijui nani atakubali kumwachia mwenzake, nauona mpasuko na siyo muungano wa upinzani. Wapo wanaomtaka Lissu, wengi wako Chadema na wengi wanaomtaka Membe wako ACT Wazalendo. Sijui ataenda wapi tusubiri.

Kimsingi Membe hana madhara makubwa kwa CCM kama ilivyokuwa kwa Lowassa.

Naiona CCM ikijiimarisha zaidi na kushinda kwa kishindo.
 
Ugoigoi wa jiwe ndio unampa kiburi membe!!watakaompa kura ni wale waliochoshwa na jiwe!!vijana hawana ajira!wazazi wamesomesha hewa hakuna matunda!!udhalilishaji kina mama eti matiti yao ni Barakoa!!!
Anyway. Ngoja usikilizwe pia.
 
Membe ni mtu fulani ambae wakati mfumo uko upande wake alifunga mdomo kabisa sasa mfumo umehama ndio anaanza kubweka, Atulie tu hawezi fika hata Robo ya EL 2015
Fact. Membe hana nafasi ya kuzishinda harakati za Lowassa.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…