Hesabu yangu watu wengi watafeli nipe jibu kama kweli utaweza kujibu

Naombeni ushauri.

Mimi hesabu ni mweupe na zimeninyima fursa za kimaisha na nikimwangalia mwanangu naona naye kama mweupe vilee ila nagombana naye ili asikose fursa kama nilivyokosa mimi.

Nishaurini kama nimsisitize zaidi tufosi hivyo hivyo au nikaushe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom