HESABU kitu cha ajabu

Hostel atateseka vyakula huyu!
Ndiyo kilichonifanyaga kukimbia hostel, mimi siwezagi Kula kwa ratiba. Ikifika sjui saa ngapi ukale, Usipoenda kutafuta chakula kitakuwa kimeisha au wamefunga.

Mwisho wa siku unaishia Kula vitu vya ajabu, Mimi nakulaga nikijiskia njaa, siwezi Kula Milo mitatu au miwili. Nikijitahidi Sana ni miwili nikiwa na KAZI.

Nikiwa ghetto ninakuwa na focus na consistence, ata saa kumi usiku naweza kupika.
 
Ndio hapo sasa! Bora uwe na ka geto kako freshy tu!
 
Utayari na dhamira, mazingira (uwezeshaji wa vitendea kazi & aina ya shule na walimu) na utulivu wa akili husababisha ufaulu mzuri kwa mwanafunzi yeyote.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Unafananisha language na logic? Hesabu is something else tena uwe na adabu. Advanced stuff tena chuoni, levels za degree na masters hii kitu isikie
Sijafananisha ila nimesema lugha ya kichina ni ngumu zaidi tena kwa mtu anayeisoma level ya chuo. Na bado utakuta kuna mwanafunzi anaelewa kuisoma na kuiandika . Kwahiyo sijasema language kama kingereza au kifaransa nimesema kichina. Tena kukiandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…