Hesabu Darasa la 4

Hesabu Darasa la 4

Wakuu Jawabu ni 49

Unaheshimu kuzidisha na kugawanya, hivyo weka mabano.

(5 x 5) - (5/5) + (5 x 5) =

25 - 1 + 25 = 49

Asante kwa wote mlio jaribu
Hapa unatupiga kamba mkuu. Kama ni kuweka mabano yanaweza kuwekwa vyovyote vile na bado hizo arithmetics zikafanyika - si lazima kwenye kuzidisha!.
5 x (5 - 5)÷(5+(5 x 5))=>0
(5 x 5) - (5÷5)+(5 x 5) =>49
5 x ((5 - 5)÷(5+5)) x 5 =>0
(5 x 5) - ((5÷5)+(5 x 5)) =>-1
5 x (5 - ((5÷5)+(5 x 5))) =>-105

etc

Hapa unatupiga kamba mkuu. Kama ni kuweka mabano yanaweza kuwekwa vyovyote vile na bado hizo arithmetics zikafanyika - si lazima kwenye kuzidisha!.
5 x (5 - 5)÷(5+(5 x 5))=>0
(5 x 5) - (5÷5)+(5 x 5) =>49
5 x ((5 - 5)÷(5+5)) x 5 =>0
(5 x 5) - ((5÷5)+(5 x 5)) =>-1
5 x (5 - ((5÷5)+(5 x 5))) =>-105

etc

Ha ha ha ha ha hapana mkuu. Kama umepewa hesabu kama nilivyo toa hapo mwanzo bila ya mabano, na hiyo hesabu ina "plus" "Minus" Multiplication and Division basi lazima uheshimu Multiplication and division. Ndio maana nikaweka mabano kwenye "multiplication" na kwenye division, MULTIPLICATION AND DIVISION MUST BE COMPLETED BEFORE ADDITION AND SUBTRACTION.

Ingia hapa kwa msaada zaidi wa "ORDER OF OPERATIONS"

ORDER OF OPERATIONS

• Thanks
Reactions: SMU
mkuu nilichukulia poa hii hisabati yako nilikaamua kuifanyia kichwani

nikapata -1 du!!!!! Ahsante kwa masahihisho =49 =nilivyotumia vitendea kazi .

Utata:
25-1+25= (25 -(1+25))== -1 au (25 +(-1 +25)== 49

&&&& je (-) tunaichukulia kama kutoa au (-) kama (hasi ie negative).&&&&&&

mkokotoo uliotumika: Magazijuto
reference(rejeo): Akili ya darasa la nne

MKUU NILICHUKULIA POA HII HISABATI YAKO NILIKAAMUA KUIFANYIA KICHWANI

NIKAPATA -1 DU!!!!! AHSANTE KWA MASAHIHISHO =49 =NILIVYOTUMIA VITENDEA KAZI .

UTATA:
(Utata upo hapa: ni 1+25=26 au -1+25=24?)

&&&& JE (-) TUNAICHUKULIA KAMA KUTOA AU (-) KAMA (HASI IE NEGATIVE).&&&&&&

MKOKOTOO ULIOTUMIKA: MAGAZIJUTO

You must respect (-) negative hivyo it should be -1+25= 24

MadameX siyo humu ndani tu ... vilaza wapo karibu nchi nzima ... ndio maana tunasema Hisabati ni tatizo (janga) la kitaifa!

Nikiwa SECONDARY kuna hesabu walikuwa wanaziita probability! nilipata jibu 8!

543054_261520440613207_2092784694_n.jpg

hapo jibu hakuna kabisa..

tafadhali ili swali liko mahakamani! lisijadiliwe humu ndani.

• Thanks
Reactions: SMU
Ha ha ha ha ha hapana mkuu. Kama umepewa hesabu kama nilivyo toa hapo mwanzo bila ya mabano, na hiyo hesabu ina "plus" "Minus" Multiplication and Division basi lazima uheshimu Multiplication and division. Ndio maana nikaweka mabano kwenye "multiplication" na kwenye division, MULTIPLICATION AND DIVISION MUST BE COMPLETED BEFORE ADDITION AND SUBTRACTION.

Ingia hapa kwa msaada zaidi wa "ORDER OF OPERATIONS"

ORDER OF OPERATIONS
Perfect. Ulisema kama mabano hayapo "unaweka" kwenye multiplication (na division) - hii la "kuweka" mabano halina ulazima kwa sabau order of operations (BODMAS) tayari ina dictate uanze kuzidisha (kugawanyanya) kabla ya kujumlisha (na kutoa). Kuweka mabano ni technique ya grouping ili kuonesha ku-override order of operations.

Kama nilivyosema kwenye post yangu ya mwanzo, the catch point ilikuwa kwenye namna ya ku treat number ambayo imetanguliwa na "minus" sign (i.e. it should be treated as a 'negative' number!) - kwa hiyo kimsingi unakuwa umeondoa 'kutoa' kabisa na kubakiwa na 'kujumlisha' tu (ndio kusema "5 minus 2" ni sawa na "5 plus negative 2!).

Kwa hiyo ni kweli overall, jibu ni 49.

Yaani wametuburuza mahakamani wakati sisi ndiyo tunawafundisha hesabu! Sasa subiria wataona umuhimu wetu.
heasbu hii jibu ni 5455. Anayebisha atoke mbele kifua wazi. Marking scheme kama hapo chini.

5x5=55
5/5=1
Therefore
5x5-5/5+5x5=
55-1+55=
54+55=5455

Natafuta hesabu za darasa la nne,
Nianze tuition pale mtaani,
Majibu mtakuwa mnanipa huku huku, la sivyo nitaaibika.

Back
Top Bottom