Hesab za mbinguni

mbweta

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
600
81
Jamaa mmoja alipata nafasi ya kwenda mbinguni akakutana na Mt Petro aliye kabiziwa funguo za mbingun na dunia na mazungumzo yao yakawa hivi.
Jamaa: Nadhan weye ndie Mt Petro?
Mt Petro: Ndio mimi ndie.
Jamaa: Umewezaje kukaa hapa getini miaka yote hiyo?
Mt Petro: Huku mbinguni miaka elfu ni kama sekunde na mabilioni ya pesa ni kama senti
Jamaa: Kusikia vile fastafasta akamwambia basi niazime senti
Mt Petro: Usiof subiri dakika moja tu.
 
inamaana atasubiri karne kazaa
 
miaka 1000=sekunde,kwahiyo huyu mshkaj atasubiri sana ili na yeye aweze kuwa fisadi
 
Kama yuko mbinguni, hatachukua muda kusubiri ila kama wamekutana duniani ndio itakua ishu!!! labda mleta hoja atueleze, wamekutana wapi!!!
 
Lazima ile kwake itabidi asubiri miaka elfu sitini! Duh kama hakuwa mchaga huyo? sijui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom