klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Hazarani?Haya anza kumchekesha sasa!
Hazarani?Haya anza kumchekesha sasa!
Rejao na boby spray wapi na wapi?...yupo busy anagawa kadi kwa wanachama wapya... Niamini tu honey manake mie pia nakuamini na ndio mana nimemruhusu Mwali awe ananisaidia kukuchongea penseli yako...Ukiludi nakagua mpaka halufu ya deodorant sasa ole wako niskie halufu ya body spray la lejao.
Sasa kumbe? Nataka nihakikishe kuwa hamzimi taa..Hazarani?
Rejao na boby spray wapi na wapi?...yupo busy anagawa kadi kwa wanachama wapya... Niamini tu honey manake mie pia nakuamini na ndio mana nimemruhusu Mwali awe ananisaidia kukuchongea penseli yako...
....fairy tales...
Hiyo taa izimwe na nani?, Lishemeji lenyewe linoko ajabuSasa kumbe? Nataka nihakikishe kuwa hamzimi taa..
Mood breaker!Ha..ha..ha..ha
Once upon a time then bla..bla..bla...bla then they lived happily ever after... matches made in heaven better stay there in heaven,this world is a hellhole...
Mapenzi matamu, niwapo nawe mpenzi, sioni mwingine wa kufanana na wewe, nitalienzi penzi lako, sitokuacha asilani.....lol..If I wont trust u then the trust wont have meaning at all (hii nimekopi kwenye muvi kwa ajili yako tu)
hehehe halaf hiyo "body spray" bora umtafsirie rejao, asje akazania tumemtusi kwa kiingereza
Sio mnoko bana, nilimwomba awe bodyguard wako....Hiyo taa izimwe na nani?, Lishemeji lenyewe linoko ajabu
Mood breaker!
mpaka nimesisimkaMapenzi matamu, niwapo nawe mpenzi, sioni mwingine wa kufanana na wewe, nitalienzi penzi lako, sitokuacha asilani.....lol..
mie pia nimekopi kwaajili yako tu na haki zote zimehifadhiwa, ole wake atakaeiga...
kuna reason behind huwezi ukamyamazisha hivo,amekuwa kimya sana
Mapenzi matamu, niwapo nawe mpenzi, sioni mwingine wa kufanana na wewe, nitalienzi penzi lako, sitokuacha asilani.....lol..
mie pia nimekopi kwaajili yako tu na haki zote zimehifadhiwa, ole wake atakaeiga...
Haujiskii bored shemeji?
Khaaa! sasa ndio nimeamini wanasayansi , kumbe kweli dalili moja ya kilimani ni kitetemeshi.hapana shEmeji, baBy wanGu uporoto yupo pembeni. Kuna kaZi nyiNgIne anafanya. Huoni naandika huku nashake shake! Think shem, think.
husikii upweke?wife wake namuwakilisha.
Khaaa! sasa ndio nimeamini wanasayansi , kumbe kweli dalili moja ya kilimani ni kitetemeshi.
husikii upweke?
maana unamureprezent,mgekuwa wotekwanini nijisikie upweke?