Hersi na GSM wamemaliza kazi yao

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,151
16,140
Hadithi za watu wa kale walikuwa wanasema wakoloni wanapotaka kufukia mali zao walitumia mazindiko ya kuwazika watu hai,sasa hii karne ya sasa GSM na Hersi wamewamaliza na kuwachukulia akili zao watu wa uto kuanzia leo hata mambo yaende kombo mashabiki wa uto watakua hawana uwezo wala kauli wamefunikwa na kufumbwa mdomo kabisa kwa kupewa nyama za fisi!

20231112_094423.jpg
20231112_094417.jpg
20231112_094412.jpg
 
Ila Nampa kongole mpishi nyama ni laini mchuzi msafi chombo ni kikubwa kauli za wagawaji zimejaa uungwana imagine unaulizwa "ungependa stake au mchanganyiko"
Simba jueni mkifungwa neema zinakuwa nyingi Jangwani fungweni tena ndugu zangu
Hamuwezi hoji uwanja wa timu maana supu imeshawamaliza!
 
Back
Top Bottom