kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
- Thread starter
- #61
POleni sana umeshikwa pabaya sana!mkuu wewe ulitegemea ng'ombe 10 watengenezewe zizi hapo Dar au? mbona akili yako finyu sana?
POleni sana umeshikwa pabaya sana!mkuu wewe ulitegemea ng'ombe 10 watengenezewe zizi hapo Dar au? mbona akili yako finyu sana?
Jivue joho la kufuata upepo!huo ni ujinga unaokusumbua,yanga imejengwa na inazidi kujengwa kimfumo,mawazo ya kipuuzinjama hayo unayo wewe na wajinga wenzio