Hersi anahusika kutengeneza wahuni kwenye soka

Hersi anahusika kutengeneza wahuni kwenye soka

Ila mwamba aliyerusha konde alipeleka taharuki kwa mzungu...
 
Kuwa karibu na wachezaji bila kuzingatia mipaka yake uwanjani? Hili ndio Utopolo wa mwisho kabisa
Je mipaka yake uwanjani ni ipi?na je ipi ni adhabu ya kuvuka mipaka? Hauna hoja wewe wa mwisho kwenye nini wakati juzi tumekutia kimoja?
 
Msimu uliopita au wa juzi huni(baunsa) la uto lilimpiga shabiki aliekuwa anahojiwa baada ya uto kupata matokeo mabaya.

Kuna ukweli mwenyekiti amefeli kuhimiza ustaarabu kwa hayo mabaunsa(mahuni) ya klabu.
 
Mtoa mada ametoa mashtaka! halafu wakati huo huo akageuka kuwa hakimu. Haki ya kusikilizwa iko wapi sasa!

Kwa nini usiviachie vyombo vya uchunguzi au huyo kocha kumshtaki huyo aliyemshambulia ili haki ipatikane?
Yanga inavoendeshwa siku hizi ni kama ccm tuu. Uhuni mwingi sana
 
Back
Top Bottom