Herpes simplex virus infection (Cold sore)

Herpes simplex virus infection (Cold sore)

ZING SOKONI

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
19,512
Reaction score
57,115
Herpes simplex virus ni aina ya virusi ambao husababisha maambukizi katika sehemu mbali mbali za mwili kama mdomo, macho au sehemu za siri za mwanamke na mwanaume.
Zipo aina kuu mbili ambazo nitazizungumzia siku ya leo, yani Herpes simplex virus type one(HSV-1) na Herpes simplex virus type two(HSV-2)
Herpes simplex virus type one mara nyingi hushambulia sehemu kama macho na mdomo ambapo husababisha vilengelenge* vidogovidogo (blister) au kwa jina lingine cold sore ambavyo mara nyingi hutokea mtu anapokuwa na anaumwa kwasababu kinga ya mwili inakuwa imeshuka
1474270833052.jpg
1474270845733.jpg


,virus hawa huingia katika sehemu husika kupitia majimaji ya mtu aliyeathirika wakati wa kissing au kama mtu atafanya oral sex.

Herpes simplex virus type two husababisha vilengelenge iinavyojulikana kama genital herpes katika sehemu za siri, kama ilivyokuwa kwa aina ya kwanza hapo juu virusi hawa husambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwengine kupitia kissing au sex na mtu aliye na virus hawa.
1474270857603.jpg
1474270964207.jpg


Mwisho.
Virus hawa wakishaingia mwilini hawatoki tena kwasababu hakuna dawa ya kutibu.
Epuka kufanya kissing au sex ikiwemo oral sex na mtu ambaye anamaambukizi.
 

Attachments

  • 1474268928106.jpg
    1474268928106.jpg
    6.3 KB · Views: 114
From what i know about HSV infection sio hatari.......kama una kinga dhaifu utaugua......kinyume na hapo utaishi kawaida

Punnisher[emoji111]
 
90% ya watu wote duniani wana HSV_1 na husambazwa haswa wakati mtoto akiwa mdogo sana kutoka kwa watu wengine wkt wa kubebwa, kubusiwa nk. Kirusi huyu mtu ataishi naye maisha yote na huwa active mtu anapopatwa ugonjwa mwingine km homa, maana hapo kinga inashuka kidogo na kumfanya kirusi kuwa na nguvu. Huyu HSV_1 hana madhara zaid ya hayo malengelenge ya mdomoni na hupona ndani ya siku 7. Usiogope!

HSV_2 ndio haswa wa ngono!!!
 
From what i know about HSV infection sio hatari.......kama una kinga dhaifu utaugua......kinyume na hapo utaishi kawaida

Punnisher[emoji111]
Uko sahihi mkuu,ila jamabo la maana kama huna hiyo kitu jikinge usipate.
 
Acha ngono zembe ndiyo jibu lake.
Unaweza uwe hauna habari na ngono zembe, ila jinga moja sababu ya umachepele wake likaja kukuletea haya magonjwa ndani ile hali wewe ulikuwa mtulivu na hauna mambo mengi.....

But pia kuna swala hata unaweza kuna wewe mwanamke ni muaminifu. Halafu siku umekaa na shost yako ambaye ana hiyo kitu akakubusu mdomoni, au shavuni, au akanywa soda yako, ukapata yale maji maji yake yakaingia katika kinywa chako..... Ukapata maambukizi.

Ila yote kwa yote, haya magonjwa ya zinaa yanasambazwa sana kupitia zinaa na ngono za hovyo. Mtu m'moja ana parters 20 kwenye mtandao kati yake na mwanamke wake....

Vijana hebu mtulie mbwa ninyi mtakuja kutuponza hata ambao tumejituliza mbwa nyie.... Matako yenu....
 
From what i know about HSV infection sio hatari.......kama una kinga dhaifu utaugua......kinyume na hapo utaishi kawaida

Punnisher[emoji111]
Weeeee bwana weee gonjwa ni gonjwa.... Nani anataka kukaa na maradhi bwana.....
 
90% ya watu wote duniani wana HSV_1 na husambazwa haswa wakati mtoto akiwa mdogo sana kutoka kwa watu wengine wkt wa kubebwa, kubusiwa nk. Kirusi huyu mtu ataishi naye maisha yote na huwa active mtu anapopatwa ugonjwa mwingine km homa, maana hapo kinga inashuka kidogo na kumfanya kirusi kuwa na nguvu. Huyu HSV_1 hana madhara zaid ya hayo malengelenge ya mdomoni na hupona ndani ya siku 7. Usiogope!

HSV_2 ndio haswa wa ngono!!!
Mmmmmmhmn jamani mbona tunatishana sasa....
 
Back
Top Bottom