Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Wanajamvi niko safarini , ila leo nimepita hapo Same mazingira yake sijayaelewa vizuri kwamaana ya eneo lenyewe kwa ujumla naona limekaa hovyo hovyo tu, Same haikua hivi. Hao Viongozi wanafanya nini?
Mtu anayejua utendaji wa huyu Mkuu wa hii wilaya, Hermani Kapufi, atusaidie walau sifa zake na jinsi anavyofanya kazi. Hivi kweli ana nia ya kuwasaidia wana same?
Same ilitakiwa iwe imepiga hatua. Hawa Viongozi wetu wanakaa Ofisini tu.