Kama Chadema wanafikiri Dk. Slaa ni nothing ndani ya chama wafute hayo mawazo kabsaa na badala yake watafute maridhiano nae kwa udi na uvumba.
Dk. Slaa kakitumikia chama kwa uaminifu na kwa muda mrefu, huwezi ongelea Chadema ya leo hii bila kumtaja Dk, Slaa ni icon ya Upinzani Tanzania hii
Ni vema wamtafute wafikie maridhiano au wakubali kutokukubaliana ndio zoezi hili lieendelee.
Mkuu The dream, hilo haswa ndilo linalotakiwa kutoka pande zote. Top leaders na Dr. Slaa waongee wayamalize hata kukubaliana katika kutokubaliana. Dr. Slaa kususa au kukaa kimya Ni kutuumiza sisi wapenda mageuzi/mabadiliko na kuruin legacy aliyojijengea kwa muda mrefu ndani na nje ya nchi Kama katibu mkuu WA upinzania Tz mwenye mafanikio makubwa.
Plse! Plse! Dr. W.Slaa let us focus on the target at this particular time.
Last edited by a moderator: