Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi

Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.

Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.

Laana itamtafuna huyu mzeee

Halafu mkiambiwa bongo lala mnachukia, hivi nani msaliti kati ya Mbowe na Dr,? kumkaribisha fisadi aliyetemwa na Chama chake na kugeuza maneno -jana mkimwita fisadi leo malaika ndio nini?
Nampongeza sana Slaa na watu wote wapinzani wa kweli wanamuunga mkono.
Mjue Lowassa haji yeye tu, anakuja na mfumo ule ule wa CCM tunaopambana nao.
Lakini mnashangilia kama ma.zuzu. nasema mtaniambia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom