Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

Slaa akwende zake huko na josefin wake, Kama angekuwa anakubalika kwa nini hakushinda 2010
 
Shardcole!!!!??? Kuna mtu kaiba password yako huku.........Hatari sana.
Leo mnamdhalilisha Dr wa ukweli?
 
Slaa amesema hana dodoki la kumsafishia Lowassa.
 
Nape hana guts za kuponda mafisadi kwa sababu yeye mwenyewe anatoa rushwa!Dr anatakiwa ajue kuwa wajumbe wenzake kweye KK pia wana akili ya kuchambua faida na hasara za kumsimamisha Lowassa hivyo alipaswa kuwashawishi kwa hoja hadi wakamwelewa kikaoni!kama wengi walisapoti kusimamishwa kwa EL basi demokrasia ilichukua mkondo wake!
 
CHADEMA kwa sasa hawana ubavu wa kumnyoshea kidole Lowassa na timu zake.

Lowassa kwa sasa ni chama ndani ya CHADEMA.

Hukumuona Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa anavyo mnyenyekea Lowassa mpaka anamsindikiza Lowassa kwenye gari yake wakati yeye ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Kiitifaki, Lowassa inabidi amsindikize mwenyekiti wa chama taifa kwa sababu Lowassa ndani ya CHADEMA ni mwanachama tu na hana cheo chochote. Kwa sasa ni kinyume chake!

Pesa na umaarufu wake ndiyo unawafanya viongozi wakuu wa CHADEMA wajishushe chini yake.

Money talks and money alone sets the entire world in
 
naombeni ile hotuba ya zitto akiaga. bungeni,baada ya utumishi uliotukuka kwa watanzania
 
Inashangaza kuona baadhi ya watu wanaojiita ni wafuasi wa CHADEMA leo wakimtolea maneno ya dhihaka na kejeli Dr Slaa,wakimwona ni tatizo katika mapambano yao ya kutwaa dola,eti kwa vile Dr Slaa ametofautiana na wenzake ndani ya chama juu ya ujio wa Lowasaa. Hawa hawa wameshasahau kwamba ni hoja za ufisadi za Dr Slaa dhidi ya Lowassa na genge lake ndizo zilizoipaisha CHADEMA hapa ilipo kisiasa leo.
Kinachosikitisha ni hatua waliyofikia ya kuanza kumshambulia Dr Slaa na mkewe,kwa kufikia tu huko hiyo inatosha kuhitimisha kwamba CHADEMA haiwezi kuwa shwari tena.Wasichokifahamu hawa wanaomshambulia Dr Slaa ni kwamba,CCM wakiongozwa na Nape watamtumia Dr Slaa kuisambaratisha UKAWA katika kampeni,najua CCM wanasali huko waliko CHADEMA waendelee kuvutana na Dr Slaa hadi aondoke,hilo likitokea kazi yao ya kuimaliza UKAWA itakuwa rahisi sana,watalitumia jina la Dr Slaa,wakimwelezea kama ni mwanasiasa mpinga ufisadi aliyegeukwa na viongozi wenzie wa UKAWA kwasababu ya fedha za Lowassa, na mnawajua Watanzania vizuri,hawakawii kubadilika.
Amini nawaambia,Dr Slaa kiongozi wa Upinzani aliyetukanwa na kudhihakiwa zaidi na CCM pengine kuliko mwanasiasa mwingine yeyote pale CHADEMA simply because ni tishio kwao leo hii atageuka silaha yao kuu ya kuisambaratisha UKAWA,na shujaa wao mkuu katika harakati zao za kubakia madarakani.
You anti Dr Slaa are a gift to CCM that keep coming.

Nape hana guts za kuponda mafisadi kwa sababu yeye mwenyewe anatoa rushwa!Dr anatakiwa ajue kuwa wajumbe wenzake kweye KK pia wana akili ya kuchambua faida na hasara za kumsimamisha Lowassa hivyo alipaswa kuwashawishi kwa hoja hadi wakamwelewa kikaoni!kama wengi walisapoti kusimamishwa kwa EL basi demokrasia ilichukua mkondo wake!

CHADEMA kwa sasa hawana ubavu wa kumnyoshea kidole Lowassa na timu zake.

Lowassa kwa sasa ni chama ndani ya CHADEMA.

Hukumuona Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa anavyo mnyenyekea Lowassa mpaka anamsindikiza Lowassa kwenye gari yake wakati yeye ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Kiitifaki, Lowassa inabidi amsindikize mwenyekiti wa chama taifa kwa sababu Lowassa ndani ya CHADEMA ni mwanachama tu na hana cheo chochote. Kwa sasa ni kinyume chake!

Pesa na umaarufu wake ndiyo unawafanya viongozi wakuu wa CHADEMA wajishushe chini yake.

Money talks and money alone sets the entire world in

Na bado ! Mtagombana mpaka mtakoma ! Hiyo yote ni dhambi ya ubaguzi mliyomfanyia ZZK kwa kusema ukweli ! Ili muwe salama mnatakiwa kumuomba msamaha shujaa ZZK, hapo ndio mtakapoponyeka.
 
Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi

Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.

Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.

Laana itamtafuna huyu mzeee
We waza hivyo ila mie kwangu naona Mungu katusave sana. So all wapenda mageuzi tungempa nchi Slaa means tungempa nchi Mushunbus the serpent, tungejutaje?

Asante tumejua mapema.. Mungu kasaidia
 
Dr ni YUDA Iscariot. Aende zake tu kwa amani tulimpenda ila Chadema tunaipenda zaidi kuliko yeye
 
Kwa sasa wakina chenge, ngeleja, Tibaijuka na wote waliotuhumiwa kwa ufisadi watapita kiulaini kwani chadema wameshawasafisha kwa kumpokea lowassa hawana ubavu wa kuongea hoja ya ufisadi ambayo ndio iliwabeba kisiasa
 
Mdau kwa kweli hata mimi simuelewi huyu Mzee Slaa. Yeye kama kweli anataka wapinzania wachukue nchi. Aachane na huu uftina wa Chadema kumpokea Lowassa. Nadhania Zitto keshamwambia aende ACT . Sasa sioni kwa nini ujenge chama alafu uhame dakika za mwisho kwenda kwenye chama kichanga alafu usubiri miaka mitano kuomba urais.
 
Si vizuri kutumia lugha za matusi katika jambo serious. Ila nionavyo mimi matusi haya yanatokana na frustration za wanaukawa kwa sintofahamu inayojengwa. Ningekuwa mshauri wa Dr Slaa ningemshauri kuwa kukaa kimya katika kipindi hiki kigumu hakumsaidii yeyote bali ni hasara kwa wote. Mwanasiasa shupavu hanuni wala hasusi bali anapambana.
 
Siku zote huwezi jenga nyumba juu ya mchanga itadumu misingi wa chadema ni vijana wasio na uelewa
 
Wewe punguani kweli nimeamini nyumbu hawawezi kuisha.

Una hasira na nini na ujinga? pesa za fisadi kuchukuwa Mbowe, badala ulie na Mbowe kauza chama chenu unamshambulia Dr.Slaa.

Tehe teh teh

Vipi pombe magufuli yuko wapig..nasikia amejitoa..
 
Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi

Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.

Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.

Laana itamtafuna huyu mzeee

Huyu angeingia Ikulu tungepata Rais anayeendeshwa na mwanamke zaidi ya Mama Salma aisee.... Bora tumemjua mapema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom