Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

Laana utapata wewe unayemtukana asiyekutukana. Leo unaona Slaa msaliti kwa sababu ya Lowassa aliyevamia chadema? Kati Mbowe na Slaa nani kamsaliti mwenzie?
Kweli ujinga ni mtaji wa wenye hela.
Dk Slaa ni msaliti.
 
haya ni masimango ya wazi kabisa dhidi ya slaa kisa mlikuwa mnamlipa zaidi ya mil 7 kwa mwezi. kwani aliwalazimisha au ilikuwa makubaliano?

Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi

Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.

Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.

Laana itamtafuna huyu mzeee
 
Dr.Slaa need to man-up .
Huyu angepewa nchi ingekuwaje..!!?
Collective responsibility ....Tundu Lisu hakuwa totally on board but in the end he flow with flow no body get hurt.

Second watch huyo mchumba uliyenae..sina uhakika na ndoa...I don't mean to be disrespectful.

Kaa na wezako don't be self centered kuona hoja yako tuu ndio itimizwe.
 
Nina hasira sana mkuu kwa huu usaliti wa huyu mzee

Leo Dr Slaa mtu aliyekifikisha CHADEMA hapa ilipo anaitwa msaliti?ila nyinyi walamba miguu wa Mbowe na Mtei hatuwashangai,ndivyo mlivyo.Ila kuna funzo kubwa mtalipata mwaka huu, subirini October ifike, endeleeni kumdhalilisha Dr Slaa kwaajili ya kumfurahisha Lowassa mkidhani mtashinda bila ya uwepo wa Dr Slaa.
 
Nani kawaambi CHADEMA ni chama cha wananchi ile ni jumuiya ya wachaga.!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi

Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.

Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.

Laana itamtafuna huyu mzeee

Aondoke Na Wahuni Wenzake Chadema Siyo Chama Cha Mabwege,
 
Na Kwa Msingi Huu Huyu Mtu Hafai Kama Chama Anataka Mkewe Ndiye Awe Anakiongoza Hafai Heri Aondoke
 
Dhambi ya kukaribisha lifisadi imeanza kuwatafuna mapema namna hii? Hata huyu Padri aliyejitolea maisha yake yote kukitumikia chama na kukifikisha hapa kilipo naye mmeanza kumpiga jaramba?

Chonde chonde jamani. Kuna mamilioni ya watu ambao kwa mara ya kwanza wanategemea "ukombozi" kutoka kwenu japo kwa sasa wako disillusioned na hawana uhakika kama Lowassa ndiye mkombozi waliyekuwa wakimsubiri. Angalieni basi msiwaangushe. Please!

USAHIHISHO..: Dr.Slaa alikuwa CCM, alivyoshindwa kura za maoni ya ubunge wa Karatu ndio akakimbilia Chadema
 
Slaa kama alikuwa na nia ya urais kwa nini hakuchukua fomu mapema,? Au alikuwa anasubiri abembelezwe na Mbowe kama mwaka 2010?
 
Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi

Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.

Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.

Laana itamtafuna huyu mzeee
slaa ni mzinzi anapenda ngono anavunja ndoa kwa uasherati hafai mlopokaji .mwongo mfitini hafai
 
Dr Slaa Msaliti tu huyu Mzee, Kwani Chadema Baba yake au Mama yake, anaweza kusepa zake tu akiona haridhiki ndani ya chama
 
Kuna watu hawajui siasa ni nini. Siasa ni madaraka, hivyo ni ruksa kutumia njia chafu kuyafikia. Once umeyafikia, ndiyo sasa unaweza kuwa binadamu.
Kama CDM inaamini ni Lowassa tu ndiye atakayewafikisha huko, naona wako sawa kabisa. Tatizo ni ikiwa kama Slaa pia angeweza kuwafikisha?!
Jadilini hilo.

In an African context of politics, your definition of "siasa" may be right. But in the perspective of true democracy, you are very wrong!
 
Dr.Slaa bana unadhani kukaa kimya ndio jibu! kwa nini ukubali lowasa kupokelewa!? umekaa umeuchuna tu sisi wafuasi wako tukutafsirije!?

Mkuu mgosi9, hili ndilo kosa kubwa analolifanya Dr.W.Slaa. Kukaa kwake kimya kunatuumiza sisi wapenzi wa CDM. Lingine kubwa kwenye vikao Kuna kukubaliana katika kutokubaliana, hivyo wengi wape. Kama tokea mwanzo lengo letu kuu Ni kuitoa CCM madarakani na SIO madaraka/uongozi basi rais wa mioyo ya watanzania Dr. W.Slaa anatakiwa kukubaliana na maamuzi waliofanya pamoja akiwa Kama katibu mkuu ili tumng'oe hili dubwasha CCM. Plse Dr. Slaa don't ruin the legacy you built for over 15 years now. If you do so, that will be for the interest of our enemy-CCM.
 
Last edited by a moderator:
Mpumbavu sana wewe uliyeleta uzi huu. Kama una mawazo ya kitumwa kama haya na unategemea kuikomboa nchi utakuwa hujielewi. Sijawahi kufikiria kuna mtu anafeel kuwa anaipenda CHADEMA adiriki kumkashifu Dr. Slaa. Kwa hii calibre ya watu sioni tofauti yao na wale tunaotaka kuwaondoa.
 
Kama Chadema wanafikiri Dk. Slaa ni nothing ndani ya chama wafute hayo mawazo kabsaa na badala yake watafute maridhiano nae kwa udi na uvumba.
Dk. Slaa kakitumikia chama kwa uaminifu na kwa muda mrefu, huwezi ongelea Chadema ya leo hii bila kumtaja Dk, Slaa ni icon ya Upinzani Tanzania hii
Ni vema wamtafute wafikie maridhiano au wakubali kutokukubaliana ndio zoezi hili lieendelee.
 
Ni imani yangu na kwa nimujuavyo Dk atakua na sababu za msingi kabsa kufanya hivyo.
Time will Tell
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom