Nawapongeza kwa kusherekea vizuri sikukuu hii .
Tutor B JF-Expert Member Jun 11, 2011 9,008 2,000 Dec 27, 2013 #1 Nawapongeza kwa kusherekea vizuri sikukuu hii .
kibella24 JF-Expert Member Aug 2, 2012 677 195 Dec 27, 2013 #2 POngezi kwako pia, VP Kristo kazaliwa moyoni mwako au umeishia tu kula pilau?
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 35,649 2,000 Dec 27, 2013 #3 Heri ya Krismasi pia....Tunangoja mwaka mpya sasa..