Heri ya uongo au ukweli?

Heri ya uongo au ukweli?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,967
Siku moja juzikati nilitongoza mwanamke akakubali. Ila baadae akaniuliza swali moja tu na akaomba nimjibu ukweli kabisaaa. Nikamwambia sawa (ila samtaim ukweli Ni mchungu beby)

Akauliza " hivi ume sex na wanawake wangapi mpaka Sasa"?

Jibu likawa hivi

"Wanawake nilosex nao mpaka Sasa sikumbuki idadi Lakini Ni zaidi ya 80" na Ni ndani ya miaka Kumi na moja to beby"

Jamani hapa nilipo naona yupo kimya sijui ndo nishapotezewa?? Maana siku zinaisha Sasa. Nahisi jibu limemkwaza

je?
Ni heri ningejibu ukweli au uongo.??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GIRL:'bebi kwanini
huniamini,kweli
naitwa HAWA.
BOY:'mjini hapa
usijekuwa
umelifupisha kumbe
unaitwa hawaniwezi
 
Ukweli kuna muda unaumiza lakini ni aheri ya ukweli,.tatizo la uongo haudumu ni kama jipu kuna siku litapasuka tuu,.sasa si bora ujue ukweli uwe huru..

Halafu kuna maswali mengine yakijinga sana kuuliza mtu kamilifu kichwani,sasa akishajua unajaza B52 what next???
 
Back
Top Bottom