Heri ya siku ya kuzaliwa Mh Sugu , Mbunge uliyechaguliwa kwa kura nyingi kuliko Wabunge wote Africa , Mbeya inakutegemea mno

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,796
218,436


Wewe kijana Mungu akupe Maisha marefu mno , umeileta heshima kubwa sana Mbeya , umeiondoa kutoka kwenye utumwa wa wananchi kuabudu viongozi na sasa tunaona viongozi wakipiga magoti kuwaabudu wananchi .

Wewe ni Rais wa Mbeya , tunakuahidi lundo la kura OCTOBER ili uendelee kuwanyuka ngumi za pua wapinzani wako , uchunguzi wetu unaonyesha kwamba kila aliyejaribu kuleta pua yake kupambana na wewe amepotea jumla , wengine wamepoteza hata tule tuvyeo tudogo walitokuwa nato .

Kwa moyo mkunjufu nakutakia Maisha marefu sana , Mungu akuepushe na Corona , Amina .
 
jembe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…