Heri ya siku ya kuzaliwa Mh Sugu , Mbunge uliyechaguliwa kwa kura nyingi kuliko Wabunge wote Africa , Mbeya inakutegemea mno

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,463
215,282
@jongwe__ himself, comrade brother. Uishi miaka mingi. Mbeya tunajivunia kuwa na ( 711 X 640 ).jpg

Wewe kijana Mungu akupe Maisha marefu mno , umeileta heshima kubwa sana Mbeya , umeiondoa kutoka kwenye utumwa wa wananchi kuabudu viongozi na sasa tunaona viongozi wakipiga magoti kuwaabudu wananchi .

Wewe ni Rais wa Mbeya , tunakuahidi lundo la kura OCTOBER ili uendelee kuwanyuka ngumi za pua wapinzani wako , uchunguzi wetu unaonyesha kwamba kila aliyejaribu kuleta pua yake kupambana na wewe amepotea jumla , wengine wamepoteza hata tule tuvyeo tudogo walitokuwa nato .

Kwa moyo mkunjufu nakutakia Maisha marefu sana , Mungu akuepushe na Corona , Amina .
 
View attachment 1436726

jembe!!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom