Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,561
- 217,865
Wewe kijana Mungu akupe Maisha marefu mno , umeileta heshima kubwa sana Mbeya , umeiondoa kutoka kwenye utumwa wa wananchi kuabudu viongozi na sasa tunaona viongozi wakipiga magoti kuwaabudu wananchi .
Wewe ni Rais wa Mbeya , tunakuahidi lundo la kura OCTOBER ili uendelee kuwanyuka ngumi za pua wapinzani wako , uchunguzi wetu unaonyesha kwamba kila aliyejaribu kuleta pua yake kupambana na wewe amepotea jumla , wengine wamepoteza hata tule tuvyeo tudogo walitokuwa nato .
Kwa moyo mkunjufu nakutakia Maisha marefu sana , Mungu akuepushe na Corona , Amina .