Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,387
- Thread starter
-
- #21
ooh big up!!hakika najivunia kuwa na BABA
Sijawahi kujuta kuwa mwanawe
asante mshua wewe ndo kamanda wangu mwenyewe wa maisha
mengi ninayokabiliana nayo leo ni muongozo wako mkuu mdingi wangu
NAKUKUBALI KICHIZI YANI WE MWENYEWE UNAELEWA JEMBE LANGU LA TREKTA
BIG UP SANAProudly responsible Father
ahahahakuna wengine wangekuwa wanasherehekea siku ya leo
ila wakalazimisha toa toa hiyo sijajiandaa sijui walifikiri ni ngumi hizi
Amenasante Mungu kunipa baba
Amen Amen mkuuNampenda sana baba yangu...mama endelea kumtunza baba.Munju awape afya njema wote..wazazi wetu.
Huyu mdingi ana undugu na kangaroo nin?