Heri ya siku ya Baba Duniani 2017 (Happy Fathers Day)

hakika najivunia kuwa na BABA
Sijawahi kujuta kuwa mwanawe
asante mshua wewe ndo kamanda wangu mwenyewe wa maisha
mengi ninayokabiliana nayo leo ni muongozo wako mkuu mdingi wangu
NAKUKUBALI KICHIZI YANI WE MWENYEWE UNAELEWA JEMBE LANGU LA TREKTA
ooh big up!!
 
Huo ujinga cc wanaume hatuna ila alieianzsha amekurupukaa cku zte n za wanaumeee
 
IMG-20170618-WA0036.jpg
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom