Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
AminaAhsante Mungu kwa neema na baraka katika mwaka uliopita pia kwa kuuona mwaka huu! Si kama tulistahili sana kuzidi wale ambao hawakuweza kuuona mwaka huu. La hasha! ila ni neema na mapenzi yako tu!
Atukuzwe Mungu kwa ukuu wake!
Haya ahsante,wapi huko bado?Hepi nyu yia wote, Hongereni huko Tanzania, sie huku bado kidogo.
Mungu awaongoze ktk njia salama.
Msalimieni Lema gerezani mwambieni yatatimia.
Ahsante,na kwenu pia.Mimi na mchepuko wangu tunapenda kuwatakia kheri ya mwaka mpya, haikuwa kazi rahisi kumaliza mwaka bila kukamatwa naomba 2017 uwe mwaka wa mafanikio tena
Thank youHappy new year to all
Thank you same to youHappy New Year to you.
Mkuu yupi huyo?Mkuu Kakataza kuongea luga ya watu
Mkuu tugawane basi hicho unachokulaHepi nyu yia wote, Hongereni huko Tanzania, sie huku bado kidogo.
Mungu awaongoze ktk njia salama.
Msalimieni Lema gerezani mwambieni yatatimia.