Heri ya mwaka mpya wana MMU wote

Bila upendeleo niwatakie wana jf wooote heri ya mwaka mpya wenye mafanikio na baraka tele.
Tuanze na Mungu kama tunavyomaliza na Mungu.
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu, nawapenda mno!!
 
Hepi nyu yia wote woteeeeee.
Mungu awasaidie ktk kila hatua.
Tuombeane sana.
Joanah joanah joanah!!
 
Asanteni wapendwa, heri ya mwaka mpya iwe nanyi pia.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]

#TheBold's
 
Happy new year kwa wotee japo sijatajwa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Lakini mazee.....
Mbona mwaka mpya wenyewe haujafika jamani.....
Mi naona kama ushamba fulani hivi, kusherehekea penati hata filimbi haijapigwa.
Subirini tuuone mwaka kwanza, au ndio mara yenu ya kwanza mazee....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Bila upendeleo niwatakie wana jf wooote heri ya mwaka mpya wenye mafanikio na baraka tele.
Tuanze na Mungu kama tunavyomaliza na Mungu.
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu, nawapenda mno!!

Mbona mwaka mpya wenyewe haujafika jamani.....
Mi naona kama ushamba fulani hivi, kusherehekea penati hata filimbi haijapigwa.
Subirini tuuone mwaka kwanza, au ndio mara yenu ya kwanza acheni ushamba...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Happy new year 2017 , uwe ni mwaka wenye mafanikio kwenu wote, ila mamaafacebook wangu wa nguvu leo tutaukaribisha mwaka wote

Mbona mwaka mpya wenyewe haujafika jamani.....
Mi naona kama ushamba fulani hivi, kusherehekea penati hata filimbi haijapigwa.
Subirini tuuone mwaka kwanza, au ndio mara yenu ya kwanza acheni ushamba...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Ok poa kabla haujajihakikishia kua utauona mwaka hebu kasikilize wimbo wa Msondo unaitwa Huruma kwa Wagonjwa ila ni maarufu kwa jina la Nani Kauona Mwaka

Mbona mwaka mpya wenyewe haujafika jamani.....
Mi naona kama ushamba fulani hivi, kusherehekea penati hata filimbi haijapigwa.
Subirini tuuone mwaka kwanza, au ndio mara yenu ya kwanza, acheni ushamba...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Shukrani sana wapenzi. Mwenyezi Mungu atuvushe mwaka salama
 
Hellow hellow am so happy to wish a happy new year to all jf members,goodbye 2016 welcome 2017 kama umevuka salama comment chochote kuashiria furaha yako maana kuvuka mwaka si kitu cha mchezo ni kwa neema ya Mungu tu,say something..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…