The New Year has brought another chance
for us to set things right and to open up a
new chapter in our lives.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
“Cheers to a new year and another chance for
us to get it right.”
Dunia imejaa vurugu sana na kufuatana fatana kumezidi sasa,mtu yeyote ana uhuru wa kusherehekea anavyotaka as long as hambugudhi mwenzake.hata ukiamua iwe may 08 ni sawa tu waache wanaosherehekea jan1 wafanye maana hawakubugudhi kwa chochote.
Mbona mimi nipo ndani mwangu na sinywi pombe wala sitegemei kunywa?
Tumeingia mwaka mpya wa 2019 tuendelee kujadili mijadala yenye kujenga taifa la Tanzania
Tuendelee kuipenda nchi yeti, tuendelee kubishana bila kupoteza focus, tuendelee kuvumiliana kwa hoja kinzani.
Tuendelee kulitumia jukwaa pendwa hili kwani linatumiwa na watu wengi sana ndani na nje ya nchi.
Lakini pia jukwaa hili ni chanzo cha habari za ndani kabisa kwani linahusisha hata viongozi wakubwa wa nchi hii.
HAPPY NEW YEAR JAMII FORUMS