Heri ya kuzaliwa Mh. Rais John Joseph Pombe Magufuli

Happy birthday C in C.
Miaka 57 iliyopita anazaliwa rais wa JMT,ndugu John Pombe Magufuli.
Vyombo kadhaa vya habari vya kimataifa vinamtaja kama almasi iliyo mchangani.Ni nadra sana kupata almasi(rais mzuri) kutoka mchangani (Afrika)
Tanzania president John Magufuli discloses his salary on TV | Africanews
kutoka jarida maarufu la wanazuoni wa Kiafrika (African Argument)-Tanzania: Magufuli’s mining reforms are a masterclass in political manoeuvring - African Arguments
Kutoka Reuters-Tanzania's Magufuli rejects calls to extend rule beyond two-term limit
Kutoka gazeti la kiengereza la Herald-Magufuli takes Canadian mining giant head-on | The Herald
Kutoka nyumbani hapa (The Citizen)-President Magufuli launches modern railway project
Dubwasha watumishi hewa lilivyokomeshwa ndani ya miaka miwili pekee -Rais Dkt Magufuli awapa siku 15 Wakuu wa Mikoa kuwaondoa watumishi hewa walio katika orodha ya malipo ya mishahara ya... | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

To be continued .

Acha Uongo, Magufuli he is 58.
 
Happy birthday prez Magufuli may the power of the Lord overshadow thee live longer. .. ..
 
IMG-20171023-WA0018.jpg

Niwe mwana JF wa kwanza kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa.Na nikuombee maisha marefu na afya Tele ili uendelee na jukumu zito la kurejesha misingi ya Taifa la Tanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom