Ahsante ndito masai dadaheri ya siku ya kuzaliwa
Amen my pacha. Salamu kwa Shem daktareeeeHappy Birthday pacha angu wa njee.....
Nakutakia maisha mema, afya madhubuti na umri mrefu....
Amen Amen my dear. Naamini busara zitaongezeka zaidiHaaaappy brthdy to urrr haaaaappy brthdyyyyyy. Uzee huo umeongezeka busara nazo zikujaee..
Amen mpendwa, nimepokea upakoHahahaha!!!! Loh!! Umenichekesha sana wewe, pokea upako huo mara dufu...
Ahsante sana lovely brodLong live my mpendwa sister Heaven Sent
Na wewe wa kike aisee