Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Wabheja sana miss neddy. Naomba nishtulie Khantwe Kuwa sijasahau Keki yangu
atakupa boga usijali
Last edited by a moderator:
Wabheja sana miss neddy. Naomba nishtulie Khantwe Kuwa sijasahau Keki yangu
Haina Shida Mbona, ukimaliza kuona aibu, nishtue nifate kimzigo changu, naandaa kibaiskeli changu hapa lolMmmhhh aibu naona mimi
Haina Shida Mbona, ukimaliza kuona aibu, nishtue nifate kimzigo changu, naandaa kibaiskeli changu hapa lol
Sie tunaenda milimani kule usukumani tukafuate nini?
My wii jamani si tunaenda kusalimia wazazi?
Ngoja nijifunike shuka sidhani kama hii aibu itaisha leo
Hahahaha kwa hiyo hii ndo aibu yako ya kufungia mwaka eeh?
Leo ni siku ya kuzaliwa rafiki yangu mpenzi Heaven Sent. Tujiunge kumpongeza.
Yan we acha tu...hata kwenye sherehe siji itabidi aje kaka yako peke yake (nafasi adimu ya kuchepuka lol)
Anatimiza umri wa nukta ngap? HB HeavenSent!