Heri ya Krismass Mh. Rais wetu Rais Magufuli

Heri ya Krismass Mh. Rais wetu Rais Magufuli

Binafsi namuombea mabaya yoote anayowafanyia watu nae yampate maradufu!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ubaya ni kuwa, shetani hana rafiki, hata ukijifanya unamfurahisha kwa kuwaombea mabaya wengine. Anaweza kuyaakisi yote unayomuombea mwingine yaje kwako kwa kipimo kile kile cha ubaya ulichomuombea mwenzako.
 
Merry Christmas Mr. President, makamu, waziri mkuu na watanzania wote.... Kuzaliwa kwa Bwana Yesu Kristu iwe mwanga na nguvu ya mafanikio katika maisha yetu.
Tusherekee kwa amani bila kuwabugudhi wengine.
 
Badala ya kumtakia heri Baba na mama yako huko kwenu mashambani unajipendekeza kwa mtu ambaye hakujuwi hakika unahitaji ukombozi wa kifikra...hiyo ni roho ya kimasikini imekutawala akilini mwako
Mheshimiwa Rais kama mkuu wa nchi na serikali ambaye pia ni amiri jeshi mkuu katika nchi, ndiye mzazi wa Taifa. Afya ya Rais, Uhai wa Rais na uzima wa Mkuu wa nchi ndio uzima, amani, usalama na maendeleo ya Taifa.
Unapowatakia Heri wazazi wako, unapowaombea afya na hali njema, Mkumbuke Mheshimiwa Rais kwaajili ya maendeleo ya nchi.
Mheshimiwa JPM kwa uongozi wake, anastahili salamu za Krismasi. Usiishupaze shingo yako kwa Roho mbaya, JPM ni Nembo ya Taifa na Afrika
 
Back
Top Bottom