Mungi ama wivu kwa kuwa amekukosa na ndo maana anatapa tapa na kusema mbovu ila mimi na wewe hajui tulikutana wapi
Khaaaa! Mr Rocky umesahau huu ndio ule mwezi tumeagizwa kuwapenda maadui zetu na kuwatendea mema?:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
Mr. Mashauzi ! Familia ipi?Kwa niaba ya familia yangu, tunakushukuru sana!
Hahahaha! Nimependa eti unaniona kwenye cctv lol! Lily Flower umepinda!
nitonye hujamweka hata kwenye top 20.............. labda kwenye top 30
Khaaaa! Mr Rocky umesahau huu ndio ule mwezi tumeagizwa kuwapenda maadui zetu na kuwatendea mema?
Heeeee! Hivi mmesahau kupendana ni amri aliyoitoa bwana Yesu kwa sisi wakristo?
Khaaaa! Mr Rocky umesahau huu ndio ule mwezi tumeagizwa kuwapenda maadui zetu na kuwatendea mema?
Hahahahahahaha! Mr Rocky lolest! Khaaaa!Mhhh kuwapenda maadui mpaka na Erickb52 mbona sijui kama yuko kwenye list ya maadui zako ila najua alikuwa anapiga jaramba kukupata
Mungi hayo kyote ,tunayajua na namna tunavyopangwa ni siri yetu
bora hata wengine tuko kwenye tano bora mhusika mwenyewe nitonye yuko kwenye 40 bora Filipo ndo kabisa kwenye mia bora Mungi at least unaplay kwenye kumi bora
Mhhh kuwapenda maadui mpaka na Erickb52 mbona sijui kama yuko kwenye list ya maadui zako ila najua alikuwa anapiga jaramba kukupata