Bora kuoa UPENDO kuliko UTAJIRI
Uko sawaKuepuka fedheha ni bora kuoa mwenye uwezo sawa au wa chini yako. Alafu pambana kutengeneza maisha mazuri, kitonga huja na fedheha zake.
Naona umeianza weekend vizuri.. upendocwa ndo nini,Lusaka ndo nini na mojA ni nini..? Serengeti lager bhana hazina adabu..😂Oa penye upendocwa dhati ubaki na kashkash mojA tu ya Lusaka hela.
Kwa sasa pumzika kidogo, jiepushe na mapenzi kabisa, akili ikae sawa, upone majeraha ndio urudu sasa ulingoniKuna sehemu kulikuwa kuna mjadala mkubwa tulikuwa tunazungumzia suala la kuoa tukawa tunangalia aina mbili za familia faida na hasara.
Mwanaume kuoa familia ya kitajiri ambayo imewazidi kwenu uwezo na kuoa familia maskini wapi kuna afadhali?
Kigezo cha kwanza kiwe upendokwenye upendo hapo lazima kuwe ma umasikini au utajili, ndo hapo tunauliza tuende kwenye mlengo upi
Nimecheka sana 😂Tafuta pesa mpka ukigombana na mkeo
Mama mkwe aje kukubembeleza mrudiane na mwanae