Hereni!

Asha D sijui yuko wapi! Na huyu Sharo-something ndo alikuwa matched nae...
ni hapo siku mamaa unapigilia kiwalo ukiangalia matching earings na hair band mr kasepa nazo!inabidi kila mtu awe na dressing table yake!

Namtafuta siku nzima ya leo sijui kenda wapi uyu ananipa mawazo.....
 
mwanaume anayevaa kihereni hata simuelewi,hakuna cha utamaduni wala nini,hereni za masai na wamangati zinaeleweka na zinakubalika lkn ni tofauti ni hizi wanazovaa makaka zetu wakimjini.
mbali na hereni,mwanaume anayevaa mipete mingi,anayesuka nywele,anayefuga afro,anayeweka wave,huwa simuelewi.
kuna wakaka wanapaka wanja kwa mbali na lipgloss,kuna mmoja sasa hivi ameoa aliniombaga rangi yangu ya kucha zile colorless zile zenye rangi kama ya maji zenye kungarisha kucha,nikampa nikidhani anatania duuh sikuamin jamaa ikajipaka kweli, nilishangaa.
wakaka mkizidisha ubitozi wakijiremba mkibashiwa msilalamike.
 
Kuvaa hereni ilianzia kwenye jeshi la Marekani,wale wanaume waliokuwa wanatoa "tigo"ndo walikuwa wanavaa hereni na vikuku!Kusuka nywele ni aina nyingine ya ukichaa,na anaefanya hivyo ana element za ushoga!

watu wanaiga sana mambo bila kujua asili yake,heri umefafanua.
hata mi nahisi wana chembe chembe za ushoga hawa kaka zetu wenye kuvaa hivi vitu.
 
mwanaume anayevaa kihereni hata simuelewi,hakuna cha utamaduni wala nini,hereni za masai na wamangati zinaeleweka na zinakubalika lkn ni tofauti ni hizi wanazovaa makaka zetu wakimjini.
mbali na hereni,mwanaume anayevaa mipete mingi,anayesuka nywele,anayefuga afro,anayeweka wave,huwa simuelewi.
kuna wakaka wanapaka wanja kwa mbali na lipgloss,kuna mmoja sasa hivi ameoa aliniombaga rangi yangu ya kucha zile colorless zile zenye rangi kama ya maji zenye kungarisha kucha,nikampa nikidhani anatania duuh sikuamin jamaa ikajipaka kweli, nilishangaa.
wakaka mkizidisha ubitozi wakijiremba mkibashiwa msilalamike.

Mi nafikiri nyie mabint ndo mnasababisha,wakiwatongoza hebu wakataeni inaweza kusaidia!
 
Hapo nakupata, sio siri element za kuchora 7 zipo, inakuaje mwanaume uvae hereni kama za dadaako, usuke nywele ka mamaako afu ujiite dume?
Tuachane na zile za asili kama za wamasai ambao huvaa hereni wakiwa ndani ya mavazi yao ya asili, sasa we haupo kwe asili afu umetoga masikio, nyusi, nk mfn Aliekuwa mtangazaji wa EATV Ben K. Sasa ile ni asili au ni nini?

Hah ahahhahha Umenifurahisha sana.. Element za kuchora Saba (7)..!
 
mwanaume anayevaa kihereni hata simuelewi,hakuna cha utamaduni wala nini,hereni za masai na wamangati zinaeleweka na zinakubalika lkn ni tofauti ni hizi wanazovaa makaka zetu wakimjini.
mbali na hereni,mwanaume anayevaa mipete mingi,anayesuka nywele,anayefuga afro,anayeweka wave,huwa simuelewi.
kuna wakaka wanapaka wanja kwa mbali na lipgloss,kuna mmoja sasa hivi ameoa aliniombaga rangi yangu ya kucha zile colorless zile zenye rangi kama ya maji zenye kungarisha kucha,nikampa nikidhani anatania duuh sikuamin jamaa ikajipaka kweli, nilishangaa.
wakaka mkizidisha ubitozi wakijiremba mkibashiwa msilalamike.

What doest thou mean!??
 
Mambo u mzima ? mi sipendi wanaume wanaovaa hereni,kusuka au wanaotembea chupi nje na mkanda kuuvalia chini ya makalio.

mi mzima,
hao wanaovaa pichu nje ndo natamanig niwanyuke viboko,nahis wanawatega wanaume wenzao maana unakuta wakipita wanaume wenzao wanakodolea macho.hii dunia imechefuka sana
 
Ni ukosefu wa maadili na kuiga mambo tu..
za kimasai na kimang'ati zinajulikana
 
Mi nafikiri nyie mabint ndo mnasababisha,wakiwatongoza hebu wakataeni inaweza kusaidia!

sion mabinti tunahusika vipi hapo.
mi nashukuru sijawahi kutongozwa na hizo type,na siku wa aina hiyo akinitongoza hayo majibu nitakayompa lazima aumwe depresion.
ni ushoga tu unawasumbua sio sisi mabinti wakulaumiwa.
 
Mambo u mzima ? mi sipendi wanaume wanaovaa hereni,kusuka au wanaotembea chupi nje na mkanda kuuvalia chini ya makalio.

..........hivi cheusi wangu,hebu niambie,
kuna tofauti gani kati ya, mwanaume na mwanamume?
 
Cheusimangala kuhusika kwenu ni kuwa unapomuona kijana anasuka na kufanya mambo ya kijinga kama hayo target yake ni nyie,mkiwa na msimamo huo itapendeza,ndo maana huwa sipendi kuangalia na kusikiliza nyimbo nyingi za bongo fleva kwa sababu ya ujinga huu,na hata mwanamke anaependa mambo hayo ya kijinga,hata awe vipi siwezi kumtongoza!
 
Hapari wapendwa!

Poleni na mihangaiko ya hapa na pale

tumekuwa tukichangia hoja za hapa na pale, zaidi kuna uzi mmoja hivi tulikuwa tukiuchangia kuhusu suala la wanawake kuvaa wigi, kila mmoja ni shahidi jinc watu walivyochangia/kupinga.

Sasa leo naomba mchango wenu kuhusu suala la wanaume kuvaa hereni na kusuka kama wadada!
Hivi hii ni akili au upunguani?
Hii ndo kwenda na muda au ndo kuchanganyikiwa?

kenya, kuna mbunge mmoja mwanaume katinga bungeni na hereni,
kaleta gumzo kwelikweli
 
aiseee...wapi na lini mkuu?

Ngoja akirudi atakuambia nimekumegea siri mkuu,usimwambie mtu,anataka afanye suprise!Au muombe patna wake Lizzy akumegee maana alikuwa mkuu wa kamati kuu!!!!
 
Kama ingelikuwa ni kutoa maksi, basi mwanaume akivaa hereni au kasuka nywele, mimi nampa sifuri!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
dah,,,hapo umeongea kama mwalimu kweli.....have missed you jamani Keren...hebu do ze nidiful kabla babu hajaamka kitandani....

Hahahahhaa….:)

Have missed you to Kaizer, ngoja basi hebu nifanye fasta…! Hope wewe upo mzima dear?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom